Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Kichwa chako kimejaa Kinyesi
 
mchukue akawe Rais nyumbani kwako.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Muda ni Mwalimu utatupatia jibu.
 
Akichaguliwa rais nchi huenda itaingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na Mataifa yanayotufadhiri! Kama US ilipompiga marufuku kukanyaga huko sidhani kama tutapata tena misaada!
 
Naunga mkono hoja ana mapungufu yake lakini mwamba anajua, kunaye pia Pm majaliwa huyu nae jembe sema amepoa sana sku hizi , viongoz elite wapo mfumo unawabana
 
Sii kwa maana mbaya ila nauliza tu. Una elimu gani mkuu?
 
Aisee basi tu nimeshindwa kukujibu!! Naomba nikulindie heshima kwa kujibu hivi mpeleke akawe kiongozi wa majambazi!!
 
Labda akawe kiongozi nyumbani kwako
Jamaa anatumia matatizo ya watu kupaisha jina lake kwake yupo Tyr uhai wa watu upotee CCM ishinde hii sio poa
 
Makonda hata Samia mwenyewe kamwacha mbali sana kimawazo na ubunifu!
Tatizo Wabongo tunapenda viongozi wasio wabunifu na vilaza wasiofanya mambo ya tofauti
Yule shoga hana uwezo wa kubuni kitu, labda kuteka na kuua watu tu
 
Nchi Tunauhitaji Maji,umeme Barabara,masoko Bora ya mazaoo(price) na Usalama kwa raia; Rais sio lazimaa sana Tunaoweza ishiii bila Rais ikawa fresh tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…