Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Only a myopic person will wish an impostor like Makonda to become the president of our country.
 
Ni kwa sababu, kwa sasa wafanya maamuzi nao ni waovu. Siku serikali itakaposĥikwa na watu wema, huyu shetani lazima asimame mahakamani kujibu uovu wake.
Ni ngumu sana kumpata mwema mmoja kwenye jamii ya uovu
 
Mleta hoja kwa namna ya hoja yako ilivyo hata wewe unaweza kuwa raisi ila wa ajabu kuwahi kutokea!
 
Umesema vyema mkuu, nitajia mtu mmoja ambae sie moovu ndani ya ccm? Mfumo wetu wa maisha unatengeneza watu waovu
 
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Muongo mkubwa sana huyu: Hana maono, ni mtu anayetumiwa na matajiri
 
Loooh!
Hii nchi haina umaskini wa viongozi kiasi hicho!
Hapo tu alipo hakustahili kuwepo,basi tu siasa za kimaslahi!
 
Ni kwa sababu, kwa sasa wafanya maamuzi nao ni waovu. Siku serikali itakaposĥikwa na watu wema, huyu shetani lazima asimame mahakamani kujibu uovu wake.
Wewe Mungu au sio? Endelea kujidanganya! Mlisema hivo hivo kuwa hawezi kurudishwa leo ni Mkuu wa Mkoa tena sio Mkoa tu moja ya mikoa mikubwa hapa nchini
 
Mbona hakamatwi ? Shida nn
Ni suala la muda. Hata P Diddy alifanya makosa mwaka 2003 ya kuwapaka mafuta akina Meek Milll na Justin Bieber ila kakamatwa mwaka 2024 na kushitakiwa. Jinai haiozi
 
Kwa Katiba hii ndugu zangu tunaweza kujikuta tunaongozwa na vituko. Tusimane tuwape kizazi kijacho katiba bora. Saa ya ukombozi ni sasa.
 
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Mkuu,
Tuongozwe na VYETI FEKI.
 
Mkuu,
Tuongozwe na VYETI FEKI.
Shida sio vyeti kk, tuna angalia kipawa cha kiongozi mbunifu na mzalendo, maprof wangapi wanavyeti lakin ni wezi, mafisadi, walarushwa, tuende Nae huyu atafaa sana Tanzania
 
Hawa kina Gabeji kichwani hakuna kitu. Hivi unaanzaje kumu admire Makonda? eti ubunifu?? Amebuni nini? Watakuambia land-rover festival.

Wakati hiyo festival ya land-rover iko miaka mingi kabla ya yeye hajalwenda Arusha
Mkuu ACHA chuki binafsi, huyu jamaa kila mkoa anopangiwa habari zake zinakiwa front page, Kazi zake haki hakika zinawabariki watu masikini na kuwachukiza mafisadi, walarushwa, wezi, wazembe, na wavivu, ukiona mtu anchukia makondo ujue huyo ananufaika na mfumo wa kunyonyaji
 
Shida sio vyeti kk, tuna angalia kipawa cha kiongozi mbunifu na mzalendo, maprof wangapi wanavyeti lakin ni wezi, mafisadi, walarushwa, tuende Nae huyu atafaa sana Tanzania
Hapana kwa kweli daud Albert bashite kwa Sasa Paul christian makonda...

Sio mchezo.
 
Mkuu ACHA chuki binafsi, huyu jamaa kila mkoa anopangiwa habari zake zinakiwa front page, Kazi zake haki hakika zinawabariki watu masikini na kuwachukiza mafisadi, walarushwa, wezi, wazembe, na wavivu, ukiona mtu anchukia makondo ujue huyo ananufaika na mfumo wa kunyonyaji
Mbona Makonda mwenyewe mnyonyaji? Au hujui magari manganpi alidhulumu kwa matajiri? Hii mijitu mihanithi imenyimwa mshipa wa aibu, ndiyo maana lilikuwa halijali kuua wau kinpora mali za watu
 
Bado haijaeleweka 2025 ni nani anakua Rais!!

Najua mmeshapitisha jina lenu lakini nature Bado haijamtambua mliompitisha!!

Sijasikia majani,mawe,upepo,mchanga,maji mtoni,vipepeo na vyote vikitaja jina lake!!

Tuendelee kumuomba Mungu kazi bado kubwa sana!
 
Kw
Hapana kwa kweli daud Albert bashite kwa Sasa Paul christian makonda...

Sio mchezo.
KWA taarifa Yako, viongozi wengi Tanzania wanatumia majina ambayo sio yao, wengi walirudia shule na kuchukua jina la mtu ambae alicha shule. Huo ndo ulikuwa mfumo wa zamani
 
Back
Top Bottom