Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo mkubwa sana huyu: Hana maono, ni mtu anayetumiwa na matajiriJinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.
Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.
1.Ni kiongozi mbunifu
2.Ni kiongozi mwenye msimamo
3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu
4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Wewe Mungu au sio? Endelea kujidanganya! Mlisema hivo hivo kuwa hawezi kurudishwa leo ni Mkuu wa Mkoa tena sio Mkoa tu moja ya mikoa mikubwa hapa nchiniNi kwa sababu, kwa sasa wafanya maamuzi nao ni waovu. Siku serikali itakaposĥikwa na watu wema, huyu shetani lazima asimame mahakamani kujibu uovu wake.
Kazi ya kwenda mahakamani ni ya DPP wewe bwege !! Hizi ni kesi za jinaiMbona huendi mahakamani wewe nyumbu?
Ni suala la muda. Hata P Diddy alifanya makosa mwaka 2003 ya kuwapaka mafuta akina Meek Milll na Justin Bieber ila kakamatwa mwaka 2024 na kushitakiwa. Jinai haioziMbona hakamatwi ? Shida nn
Naye ni mwanamke tu!! Kama huwezi kusimamisha mashine na kutumbukiza kwenye "K", huwezi kuwa mwenzetuHii tunaiita nini Nyashi? au msambwanda? Hasa inapokuwa kiumeni!
Mkuu,Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.
Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.
1.Ni kiongozi mbunifu
2.Ni kiongozi mwenye msimamo
3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu
4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Mkuu ACHA chuki binafsi, huyu jamaa kila mkoa anopangiwa habari zake zinakiwa front page, Kazi zake haki hakika zinawabariki watu masikini na kuwachukiza mafisadi, walarushwa, wezi, wazembe, na wavivu, ukiona mtu anchukia makondo ujue huyo ananufaika na mfumo wa kunyonyajiHawa kina Gabeji kichwani hakuna kitu. Hivi unaanzaje kumu admire Makonda? eti ubunifu?? Amebuni nini? Watakuambia land-rover festival.
Wakati hiyo festival ya land-rover iko miaka mingi kabla ya yeye hajalwenda Arusha
Hapana kwa kweli daud Albert bashite kwa Sasa Paul christian makonda...Shida sio vyeti kk, tuna angalia kipawa cha kiongozi mbunifu na mzalendo, maprof wangapi wanavyeti lakin ni wezi, mafisadi, walarushwa, tuende Nae huyu atafaa sana Tanzania
Mbona Makonda mwenyewe mnyonyaji? Au hujui magari manganpi alidhulumu kwa matajiri? Hii mijitu mihanithi imenyimwa mshipa wa aibu, ndiyo maana lilikuwa halijali kuua wau kinpora mali za watuMkuu ACHA chuki binafsi, huyu jamaa kila mkoa anopangiwa habari zake zinakiwa front page, Kazi zake haki hakika zinawabariki watu masikini na kuwachukiza mafisadi, walarushwa, wezi, wazembe, na wavivu, ukiona mtu anchukia makondo ujue huyo ananufaika na mfumo wa kunyonyaji
KWA taarifa Yako, viongozi wengi Tanzania wanatumia majina ambayo sio yao, wengi walirudia shule na kuchukua jina la mtu ambae alicha shule. Huo ndo ulikuwa mfumo wa zamaniHapana kwa kweli daud Albert bashite kwa Sasa Paul christian makonda...
Sio mchezo.