Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Leo kathibitisha kichwani ni mweupe
 
Labda angefanikiwa kuwadhulumu GSM na maadui wake wa kisiasa fedha na mali au hata uhai wao.
 
Hata kama huna akili kabisa huwezi kutoa wazo la HOVYO kama hili.

Makonda alikuwa hawara ya Sitta tu, hakuna zaidi ya hilo. Yaani mwaka 2030 Tanzania itawaliwe na shoga?
 
Naona mnafanya diversionary tactics jinsi serikali ilivyopwaya kwenye ajali ya Kariakoo.

Huyu zero brain hakuna mtu mwenye akili timamu atamfanyia endorsement ya urais ilhali ana tuhuma za kunyima watu haki ya kuishi.
 
Twendeni na huyu!
Watanganyika kama tuna akili timamu,basi tumechanganyikiwa.
Hixi takwimu Zina faida Gani kwa wasaka ajira, maskini na wanyonge
 

Attachments

  • IMG-20241117-WA0052.jpg
    107.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…