Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Ujanja ujanja tu! Makonda ndo real hustler kwa maoni yangu!
 
Kwahiyo kwa mtazamo wako haya ndiyo yanamfanya awe na sifa za kuwa Raisi ?​
Taja na wewe nani anafaa tumlinganishe na Makonda!
Makonda hata kwenye exposure yuko vizuri ndo maana anabuni vitu vya tofauti!
Kafanikiwa kwenye Leadership,Politics na Business!
Makonda ameishi miaka mitatu nje ya siasa na akafanikiwa sana kwenye biashara ndo maana anasema yeye hayuko hapo kulinda cheo maana kama hela anazo za kutosha!
 
Hizo pesa Bashite alizitoa wapi na alizipata kwa njia gani ?​
 
Mjinga kabisa wewe
 

Siyo bure. Pole sana ndugu yangu, lazima utakuwa mgonjwa hasa!! Kichwani huwezi kuwa sawasawa. Yaani huyo muuaji hapo alipo hastahili hata kuwepo, halafu unasema mwaka 2030 atakufaa? Atakufaa wapi? Kuongoza familia yako?
 
Kawa mkuu UV CCM,mkuu wa wilaya Kinondoni,Mkuu wa Mkoa Dar kote huko alipokea mshahara na kwa akili yake ya ubunifu na kufanya biashara kwa nini asiwe na hela
Muulize yule jambazi mwenzake kule Moshi alipokuwa akipora pesa za watu, kwa nini alikuwa akisema kuwa alikuwa akipora kwa kutumia Makonda style!!
 
Muulize yule jambazi mwenzake kule Moshi alipokuwa akipora pesa za watu, kwa nini alikuwa akisema kuwa alikuwa akipora kwa kutumia Makonda style!!
Nenda katafute mtu aloibiwa na Makonda maana unafanyia kazi maneno ya mtaani!
Mtu awe kwenye system miaka zaidi ya 10 bado awe maskini?
Basi huyo atakuwa kilaza na mtu kama Makonda alivyo mbunifu hela lazima aipate tena ya kutosha
 
Makonda Kwa Sasa anaishi Masaki...Masaki kiwanja cha Bei YA vhininkinaanzia billion 3

Kwa salary yake YA ukuu Wa mkoa tuchukue miaka Kumi may be analipwa milion 10 Kwawezi..Je anaweza kununua nyumba YA Masaki

Makonda ana maghorofa karibia kila mkoa..ana utajiri Sio chini YA billion 20 sema uzuri CCM wanalindana
 
Kwanza awali ya yote atueleze jina lake halisi ni nani, ni David Albert Bashite au Paul Christian Makonda?

Kama ni Paul Christian Makonda atuonyeshe baba yake mzazi anayeitwa Christian Makonda. Na mama yake mzazi, ikiwezakana ndugu yake yeyote anayeitwa kwa jina la Makonda. Na kama hawezi maana yake yeye siyo Makonda, atuonyeshe shule alizosoma kwa jina la Makonda.

Wewe pumbavu kwenye ubora wa upumbavu wako unataka tuwe na rais aliyefoji mpaka jina lake? Huyo ni mwizi na jambazi, aanze kwanza kutuonyesha chamzo cha yeye kupata utajiri mkubwa kwa muda mfupi maana historia ya kupora magari ya watu alipokuwa mkuu wa mkoa Dar es salaam tunazo
 
Andikeni Daudi Bashite siyo Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…