Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Hata kama ndo uchawa this is too much.
Makonda hafai ni vile tu anajua unafiki na kujipendekeza.
Makonda hana "Qualities of a good leader "
 
Tatizo jingine yale maadili tumeyaweka pembeni katika kila kitu. Siku hizi mtu yoyote tu anaweza kuwa mwalimu au Dr na wakati mwingine Polisi. Hakuna ile seriousness Kama Enzi za mwalimu labda kwakua Enzi zile ni Enzi tayari
 
Ni sawa KABISA ,
 
Sio kila mtu anaweza kuwa Rais.
Mpe awe rais wa mji wako.
Hatuwezi kuwa na rais muuaji kama Bashite.
 
Nchi imejaa wapumbavu, ni upumbavu kutumia muda na rasilimali kupost takataka hapa jukwaani

Eti Sasa nchi imekosa uongozi soln
Ni makondav2030,:ulinga tu

Badala ya kuhamisha katiba mpya ili ituletee viongozi Bora zaidi ya makonda we unaleta upuuzi
 
Hawezi kuwa Rais, ila Raisi anaweza kuwa 😂😂
 
Jjwangu ni mnafiki kwani aliulizwa maswali ya wazi akawa anachenga.ana penda attention tu.na anatumiwa kisiasa na wakubwa huyu ni hovyo kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…