kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 2,000
- 3,352
Kwenye siasa yoyote anaweza kuwa popote. Rejea wale wasanii na watangazaji wanaotembelea V8 kwa wakati huu.Hapana bana..bashite ana uafadhali mkubwa. Awe kiongozi lakini sio rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye siasa yoyote anaweza kuwa popote. Rejea wale wasanii na watangazaji wanaotembelea V8 kwa wakati huu.Hapana bana..bashite ana uafadhali mkubwa. Awe kiongozi lakini sio rais
Ndio maana kwenye siasa kuna ujinga mwingiKwenye siasa yoyote anaweza kuwa popote. Rejea wale wasanii na watangazaji wanaotembelea V8 kwa wakati huu.
Siasa na kusaka tonge vipo sambamba🤔Ndio maana kwenye siasa kuna ujinga mwingi
Ni kweliSiasa na kusaka tonge vipo sambamba🤔
Hata kama ndo uchawa this is too much.Watanzania sijuo aliyeturoga nani...
Kwenye kauli yake amethibitisha kuwa clouds walikuwa wanamtumia kuvunja sheria. Amethibitisha kuwa walipokuwa na shida na TCRA wanampgia yeye.
Sasa hapo kawapa mfano mmoja tu, bila shaka hili analifanya TRA na kwingine akitumiwa na marafiki zake lakini kwa watanzania kuvunja sheria kwa wanasiasa mshaona kawaida.
Tanzania hakuna kiongozi ambaye anachukia ubadhirifu unless haumnufaishi. Ukitaka kujua hili bila shaka akiulizwa mali alizo nazo ndani ya kipindi cha miaka kumi hawezi kukueleza kazitoa wapi maana hata mshahara na marupurupu yake hayatoshi hata kumiliki nusu yake.
Tatizo jingine yale maadili tumeyaweka pembeni katika kila kitu. Siku hizi mtu yoyote tu anaweza kuwa mwalimu au Dr na wakati mwingine Polisi. Hakuna ile seriousness Kama Enzi za mwalimu labda kwakua Enzi zile ni Enzi tayariNi kweli
Umeamua kuwa mbishiDaud bashite kutoka kolomije awe rais?
Nasema kwa nguvu HAIWEZEKANIIIIIIIIIII
Naunga mkono hoja Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ni sawa KABISA ,Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.
Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.
1.Ni kiongozi mbunifu
2.Ni kiongozi mwenye msimamo
3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu
4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Anatufaa 2025
Nchi imejaa wapumbavu, ni upumbavu kutumia muda na rasilimali kupost takataka hapa jukwaaniJinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.
Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.
1.Ni kiongozi mbunifu
2.Ni kiongozi mwenye msimamo
3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu
4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Hawezi kuwa Rais, ila Raisi anaweza kuwa 😂😂Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.