Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.
Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.
Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.
Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.