Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

Mzee ulikuwa unadanganyika na maigizo.Jamaa alikuwa anatengeneza tukio siku moja na halina mwendelezo.Hapo anakula fedha za GSM na industrialists wengine kwa kuwadanganyana kuwa anawasaidia wahitaji kumbe fedha zinaingia mfukoni mwake.Tusiongee sana jambo gani alilofanya huyo jamaa likawa na mwendelezo?
Yale majengo ya Mama na Mtoto kwenye hospitali za Mwananyamala, Temeke na Ilala yamebomoka!
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Mmeanza. Mnatuona hamnazo au mwadhani mna akili zaidi yetu?
 
Mkuu
Mzee ulikuwa unadanganyika na maigizo.Jamaa alikuwa anatengeneza tukio siku moja na halina mwendelezo.Hapo anakula fedha za GSM na industrialists wengine kwa kuwadanganyana kuwa anawasaidia wahitaji kumbe fedha zinaingia mfukoni mwake.Tusiongee sana jambo gani alilofanya huyo jamaa likawa na mwendelezo?
kwani yeye ndiye wa kwanza kutengeneza deals na kula pesa za makampuni?
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Nawewe unaamini alimtabiria kuwa the next VP?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jibuni hoja kwann alienda kuvamia kituo Cha utangazaji ,Hilo mosi yatafuata mengi ,alikua anatumia ujinga wa women wenyewe bilakutambua anawafanya kichaka Cha Mambo yao
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Mahakama haijui hiyo jamaangu! Hayo mambo ya mtetezi wa haki za wamama sijui nani kamwambie mama yako mzazi!
 
Back
Top Bottom