Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Nasikia alikuwepo Dodoma wakati Tundu Lisu anauwawa
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Unafungwa Bashite jiandae na ndoa za Jela. Mwanamke hajakutuma kuua watu, pambana na hali yako.
Mwana kulitafuta .. mwana kulipata..
 
Mzee ulikuwa unadanganyika na maigizo. Jamaa alikuwa anatengeneza tukio siku moja na halina mwendelezo. Hapo anakula fedha za GSM na industrialists wengine kwa kuwadanganyana kuwa anawasaidia wahitaji kumbe fedha zinaingia mfukoni mwake. Tusiongee sana jambo gani alilofanya huyo jamaa likawa na mwendelezo?
Kufunga baa saa 6 usiku hadi watu wa mikoani wakaiga.

Kuhakikisha wasiooga hawaingii mjini kati.

Kwa wageni wa dsm, mjini kati ni maeneo ya posta na kariakoo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom