Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

Acha kutetea jambazi, liuaji, jitu lenye dharau katili. Umetumwa? Hizo kesi za kina mama ziliishia wapi? Hana lolote. Lupango ndio stahili yake.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.w
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Umechanganikiwa Wewe MAKONDA na SABAYA hawana Tofauti ndio Wauaji Watekaji na Wapiga risasi
 
Too late! Hapo hakuna gia itakayofanya kazi!
Kwa akina mama alikuwa akisaka kura za ubunge, ishatoka hiyo! Madhambi yake ni makubwa sana huwezi compasate na yale mambo yake ya DnA!
 
Alimsaidiaje Masogange aliyefia hospital za mitaani wakati Wema Sepetu alituambia ni hawara yake?
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.

Kwani bunge la katiba lilikuwa na kipengele cha kupendekeza wagombea wenza?
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Makonda amefanya maovu mengi ni wakati wake kuhudhuria mahakamani.
 
mm jamaa huwa simkubali kivile,lakini ukweli jamaa alifanya kitu ktk umtumishi wake,yako mengi mazur aliyafanya kuliko mabaya,na kwakuwa baya moja ,linatosha kabisa kufuta mazuri yote,Basi wengi wanaona hakufanya kitu chochote ktk umtumishi wake!!.
 
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.

Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.

Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.

Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Wewe msifie tu lakini watu wako chimbo wanaandaa upupu ambao utamuwasha hadi anaingia kaburini. Hachomoki,lazima lile wezere lifumuliwe. Mwanafuzi wake Sabaya tayari ameshakula bamvua zake 30 na bado zingine zinakuja soon.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom