Kwa upuuzi huu ulioandika unaoonyesha upofu wako, ingetokea hukwenda shule ungekuwaje?Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.
Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.
Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.
Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Which point ?Stick to the point.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.
Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.
Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua. Hivyo mpaka sasa akina mama wengi wanakumbu msaada wake.
Kubwa na la muhimu, wakati wa bunge la katiba mwaka 2014 ni Makonda huyu ndiye alipendekeza Mama Samia kuwa mgombea mwenza wa hayati JPM.
Mataga/wameanza kufanya yao ,Huu uzi umeandikwa na Mtanzania mwenzetu mwenye akili timamu?
Kuhusu Utanzania wake sina Shaka, lakini kuhusu utimamu wa akili yake hilo sina hakika.Huu uzi umeandikwa na Mtanzania mwenzetu mwenye akili timamu?
Lile ni jangili kama majangili mengineMzee ulikuwa unadanganyika na maigizo.Jamaa alikuwa anatengeneza tukio siku moja na halina mwendelezo.Hapo anakula fedha za GSM na industrialists wengine kwa kuwadanganyana kuwa anawasaidia wahitaji kumbe fedha zinaingia mfukoni mwake.Tusiongee sana jambo gani alilofanya huyo jamaa likawa na mwendelezo?
Hatari sn yule ni tapeli kama matapeli mengineJamaa yako anaelekea kule alipo Sabaya, usituzuge na habari ya utabiri, kama yeye mtabiri kweli atuambie mvua zitaanza kunyesha lini tujaze bwawa la Nyerere.
Kweli inasikitisha...Huu uzi umeandikwa na Mtanzania mwenzetu mwenye akili timamu?
Uwezekano mkubwa ni aliyeandika ni mtanzania mwenzetu, ILA kama atakuwa na akili timamu, kuna mashaka makubwa.Huu uzi umeandikwa na Mtanzania mwenzetu mwenye akili timamu?
How can hr stick to the point if there is no point?Stick to the point.