Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Barozi!Yaani mnaoteseka ni nyie..! Hakuna kazi ngumu kama kukaa unategemea litamkuta lini usiyempenda..! Mara pah...Barozi🤣🤣 usifute huu uzi
Jamani mambo yanakwenda kasi kuliko.Si walikuwa marafiki hawa?Hii ndio taarifa mpya na ya kusisimua kutoka kwenye lile gazeti makini la Raia Mwema .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa maendeleo ya Kesi hii mpya .
Makonda ilibidi awe mpole tu na arudishe Range la watu alilojiazima.Uongo Na uchafuzi tuu ..Hao wote walijipendekeza Wenyewe Kwa makonda ,,Watanzania kujipendekeza Kwa viongozi ni utamaduni wao.
Mtu na Swahiba wake wote wameshtakiwaJamani mambo yanakwenda kasi kuliko.Si walikuwa marafiki hawa?
Weeee !!!Yaani mnaoteseka ni nyie..! Hakuna kazi ngumu kama kukaa unategemea litamkuta lini usiyempenda..! Mara pah...Barozi[emoji1787][emoji1787] usifute huu uzi
Tangu Awamu ya Mwendazake Mahakama za Tanzania zilipoteza haki zao zote kwa Ma- CCM.Ingependeza tuone muendelezo wa hiyo kesi mahakamani, pasiwepo na siasa zitakazoingilia kati, ili jamii yetu ianze kurudisha imani na mahakama zetu, ili kama Makonda alipewa kwa makubaliano maalum ikajulikane, au kama alipora, ikajulikane pia.
hatma ya kesi hii ipo mikononi kwa DPP. kumbukeni DPP anateuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa chama chetu .. kwa hiyo hili suala la kama Makonda ajibu ama asijibu tuhuma limo ndani ya chama chetu, wengine mnajichosha.View attachment 2379378
Yametimia, Pilato yuko kazini. What goes around, comes around.
Makonda apelekwa kortinni kwa uporaji wa gari Range Rover ya Patrick Kamwele yenye thamani ya Tshs 249million.
Ref: Gazeti Mwanchi leo, front page.
PIA, SOMA: Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani
Sio walijipendekeza bali wana dili chafu wakawa wanatafuta ulinziUongo Na uchafuzi tuu ..Hao wote walijipendekeza Wenyewe Kwa makonda ,,Watanzania kujipendekeza Kwa viongozi ni utamaduni wao.