King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Bomaye Nye Nye Nye Le mutuz Mobimba ,i'm humbled you know ha ha ha.Jamani watamuua Lemutuz, libabu la watu kwa Presha. limechoka alafu analetewa makes mengine. Walimwengu siyo wema kabisa
You know, I am super humbled sana.
Usiyasingizie mateja.Mtandaonwa madawa si Lele mama
[emoji16][emoji16][emoji2][emoji28][emoji23]Eti Barozi!
Walimu wa chekechea mnatujazia server!
Gari ipo parking ilala boma pale imechoka hata haitembeiJamani mdai si angechukua tu gari na amsamehe?
bado moja hujaiweka hapa,ile nissan infiniti
Last born wa taifa
Bashite ,sabaya ,lemutuz watoto wapendwa WA jambazi mwendakuzimu ,majambazi wakubwaAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela maarufu Lemutuz wamefunguliwa kesi mahakamani kwa tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover.
Makonda na Lemutuz wamefunguliwa kesi hiyo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na mfanyabiashara Patrick Christopher Kamwelwe ambaye katika madai yake anataka alipwe fidia ya zaidi ya TZS milioni 240 ambazo ni gharama za kodi na thamani ya gari hilo.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Wakili wa mfanyabiashara huyo, Kung’e Wabeya amesema tayari mahakama hiyo imetoa taarifa kwa wadaiwa kuhusu kesi hiyo na kuwataka wawasilishe mahakamani utetezi wao wa maandishi ndani ya siku 21 tangu kupokea taarifa hiyo.
Ameongeza kuwa endapo wadaiwa watashindwa kuwasilisha mahakamani utetezi wao ndani ya muda huo, mahakama itaweza kutoa hukumu dhidi yao.
Wabeya amesema kesi hiyo ya madai namba 234 ya mwaka 2022 imepangwa kutajwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo Oktoba 13, 2022 saa 7 mchana.
View attachment 2379487
Huku Le Mutuz akidanganya kwamba atasaidia kudukua watu mitandaoni .Le mutuz alikuwa chawa wa Makonda alikuwa anamuita Commendent kanyaga twende kumbe matapeli tu
Aiseee !!!bado moja hujaiweka hapa,ile nissan infiniti
Kwani William anayetajwa ni Nani?Le mutuz kapona?
Hamna lijitu linafiki kama Hilo lizee , yaani ukisikia mtu mzima ovyo ndio Hilolemutuuuuuuuuuuz kichwa kidogo mwili kama tembo
utasikia tumechelewa sana guys.... pumbavu kumbe chawa tu
Lemutuz pole umetungiwa had mistari. Ndio maana sasaiv JF sikuoni.Papa Mobimba Le Mutuz Nye Nye Nye.
Naambiwa mpaka leo makonda anaishi kwenye nyumba ya serikali.Maccm huwa yanalindana
Huenda jamaa hataki kurudisha gari.Jamani mdai si angechukua tu gari na amsamehe?
Ati unasemaje?Naambiwa mpaka leo makonda anaishi kwenye nyumba ya serikali.
Uongo Na uchafuzi tuu ..Hao wote walijipendekeza Wenyewe Kwa makonda ,,Watanzania kujipendekeza Kwa viongozi ni utamaduni wao.
makonda na lemutuz si walikuwa wanakula bata pamoja hawa?Mtu na Swahiba wake wote wameshtakiwa