Paul Makonda na William Malecela waburuzwa kizimbani kwa tuhuma za kudhulumu gari

Yaani mnaoteseka ni nyie..! Hakuna kazi ngumu kama kukaa unategemea litamkuta lini usiyempenda..! Mara pah...Barozi🀣🀣 usifute huu uzi
Hata kuandika hujui!
 
Huyu lemutuz si aliwahi andika andiko lake kuwa makonda enzi ya mwenda zake aliwatenga washkaji zake na akiwemo na yeye hiib dili lini?
 
Huyu alijua ataishi milele kwa kudhulumu, ngoja akione cha moto πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜“πŸ˜“
 
DAB alipora magari na nyumba/viwanja vya matajiri wengi na kuwabambikizia kesi za kuuza "BWIMBWI".
 
We have a root problem in Tanganyika that is CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787] The same level of thinking that created problems,is the one that try to find the solutions to the problems they have created [emoji137][emoji137][emoji137]
View attachment 2380281
 
DAB ni mwizi, mporaji wa mali za watu. Akishirikiana na mwenda zake wamesababisha makovu makubwa sana kwa watu wengi. Nawashangaa mnaosema eti huyu anafaa kuwa Rais ajaye.
 
Maisha hubadirika au sio
 
DAB ni mwizi, mporaji wa mali za watu. Akishirikiana na mwenda zake wamesababisha makovu makubwa sana kwa watu wengi. Nawashangaa mnaosema eti huyu anafaa kuwa Rais ajaye.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…