Paul Makonda ni wazi hatadumu Arusha

Paul Makonda ni wazi hatadumu Arusha

Umemuacha samia umemrukia makonda
Mwamba ni mwamba tu.kama una chuki zako binafsi basi nakwambia ya kuwa utakufa kwa presha mwaka huu maana unakwenda kumsikia Makonda akiteka anga la siasa za Tanzania na vyombo vyote vya habari kila uchwao kwa habari njema za maendeleo .
Umemuacha samia umemrukia makonda,mkaribishe kwako alale na wewe kitanda kimoja akuliwaze vizuri
 
Ungependa adumu au asidumu?

Mbona pia unawasaidia mahasimu wako wamwondoe Arusha Ili asiharibu wakati kiuhalisia hasimu akiboronga ndiyo furaha kwako?

Uko upande Gani?

MADA Yako Iko kihisia zaidi na kibinafsi!!
 
Aliyemteua ndio kabugi men
Ni kweli Mkuu. Aliyemteua ni mwenye jinsia ya kike lkn yeye kwa kulewa madaraka akatamka wazi kuwa hata uteuzi wake ukidumu kwa muda mchache,.atakuwa ameweka alama. Kila atakaekuja baada yake lazima aseme "kuna MWANAUME" aliyepita hapa.
Kwa tafsiri nyingine wengine hawawezi kwani hawana jinsia ya kiume au wanaume suruali.
 
Mwamba Makonda ataendelea kuchanja mbuga katika nafasi mbalimbali za kiuongozi katika Taifa letu.ni nyota ya matumaini na ni tumaini la mamilioni ya watanzania.kazi yake ni kuwatumikia watanzania kwa unyenyekevu na upendo mkubwa sana .katika hilo hana uoga wala hofu ya kumuogopa mtu.
apo ukishaandika ugoro wako unawatumia screenshot pamoja na invoice ? au wewe unejitolea tu kua ngiri wa watu wasiasa?
 
Usishindane na aliye barikiwa na kupewa kibali na Mwenyezi Mungu,usishindane na aliyepakwa mafuta na Mungu wenyewe,usishindane na aliyeinuliwa na Mkono wa Mungu,usishindane na nyota na nuru iliyowashwa na Mungu.huwezi ukazima wala kufifisha nyota ya Makonda.huwezi kwamwe kumshusha Mwamba Makonda kwa chuki zako binafsi na roho mbaya.

Wapi wengi sana waliomtabiria mabaya lakini kwa bahati mbaya wote walishapotea katika ulingo wa siasa na kumuacha Mwamba Makonda akichanja mbuga na kutawala na kuteka mioyo ya watanzania
Amelaaniwa huyo nyamitako wako
 
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.

Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.

Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.

Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 3!

Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.

Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
Dua la kuku
 
Kamwe makonda hajanyanyuliwa na Mungu Bali kabebwa na bi tozo na atakapochoka utamwokota majalalani
 
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.

Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.

Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.

Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 3!

Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.

Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
Ata ondolewa
Unaongea us3nge tu wewe,kampuni zimepelekewa barua kuwataka watoe watu na magari kwenda kumpokea makonda kwa lazima, mfano kiwanda cha nguo cha AtoZ kimepeleka kwa lazima wafanyakazi wote waliotoka shift ya usiku,niliwakuta wakilalamika na kulaani kitendo hicho,kwani muda huo walpaswa kupumzika ili waingie tena kazini usiku, leopard tours,nk pia walishurutishwa kupeleka watu na magari kwa lazima,hukai arusha,huyajui ya arusha

E
Ata ondolewa baada ya uwanja wa mpira kumalizika
Na biashara ya kuuza Ngorongoro kukamilika
 
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.

Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.

Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.

Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 3!

Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.

Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
We bado mdogo ubongo bado mteke
 
Ndugu yangu umeyasikia hayo tu? Hujasikia pia akisema wanyonge wasidhurumiwe haki zao maana hawana mtetezi na kwamba yeye ndo atakuwa mtetezi wao? Hilo hukusikia au hulitaki??
 
Fanya kazi acha uongo, kwanza hakusema siku 3 Bali siku 7 ndo kawaida. Pili msafara hakuuleta yeye waliokuja kumpokea ndiyo waliratibu. Huyu mtu anapendwa tusiwe wanafiki.
Ni mnafiq mkubwa na hapendwi hata na CCM wenyewe na utaona nini kitampata Arusha.
 
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.

Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.

Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.

Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 3!

Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.

Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
ashasema hata akikaa siku moja poa tu
 
Mungu amemkataa
 
Back
Top Bottom