Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😂😂😂😂Wazee wa kububujikwaWatu wa Arusha wamebubujikwa na machoji ya furaha baada ya kumpokea kiongozi shupavu na shujaa makonda.😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Wazee wa kububujikwaWatu wa Arusha wamebubujikwa na machoji ya furaha baada ya kumpokea kiongozi shupavu na shujaa makonda.😎
Wewe ndiye mnafiki na mzushi mkubwa . Kama angekuwa hapendwi angepewaje ushirikiano?Ni mnafiq mkubwa na hapendwi hata na CCM wenyewe na utaona nini kitampata Arusha.
Mtaalam wa Mabubujiko.....tupe feedback huko ArushaWewe ndiye mnafiki na mzushi mkubwa . Kama angekuwa hapendwi angepewaje ushirikiano?
Wakati Yuko benchi walikuwa wanakutana wapi!?Acha kuweweseka na kupata homa wewe.kwa hiyo ulitaka watu wenye upendo na wenye hamasa na kiu kubwa ya kumkaribisha Mheshimiwa Makonda Arusha wasiende kumpokea kwa kuogopa msafara utakuwa mrefu na magari kuwa mengi? Ndio akili yako hiyo ya kinyumba ilipofikia?
Watu wamejitokeza kwa hiyari yao ,kwa magari yao,kwa mafuta yao na kwa upendo na mapenzi yao makubwa kwa Mheshimiwa Makonda katika kumlaki na kumkaribisha Arusha.hakuna aliyelazimishwa wala kushikiwa bunduki ili awashe gari kwenda kumpokea.
Mwamba Makonda ni kama maji tu huwezi kuyakwepa.usipoyanywa utayaoga tuu .
Wanafiq wenzake wa CCM ndio wanamkubali kinafiq. Na wewe ni miongoni mwa wanafiq hatari wa nchi hii.Wewe ndiye mnafiki na mzushi mkubwa . Kama angekuwa hapendwi angepewaje ushirikiano?
Mkuu, yaani unapoteza muda wako kumjibu huyo mtu.Unaongea us3nge tu wewe,kampuni zimepelekewa barua kuwataka watoe watu na magari kwenda kumpokea makonda kwa lazima, mfano kiwanda cha nguo cha AtoZ kimepeleka kwa lazima wafanyakazi wote waliotoka shift ya usiku,niliwakuta wakilalamika na kulaani kitendo hicho,kwani muda huo walpaswa kupumzika ili waingie tena kazini usiku, leopard tours,nk pia walishurutishwa kupeleka watu na magari kwa lazima,hukai arusha,huyajui ya arusha
E
Kwani Arusha kuna. Mbunge au Diwani au Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa ambaye sio CCM??Makonda hajaenda Arusha kudumu kama alivokua mwenezi CCM,ameenda kwa kazi maalumu ambayo kapewa na kitengo Cha samiah!!
Huyo ni pace maker kaenda kuiandaa Arusha kuwa ngome ya CCM halafu akimaliza atapangiwa pengine!!
Japo sio mwadilifu kivile lakini style yake ndio inahitajika kwa siasa za sasa!!
Ningekua mimi ningemtumia makonda na Pm majaliwa kukiweka chama mstarini!
Si unajua walipitaje!!?Kwa mkono was chuma was mwendazake!!!?Kwani Arusha kuna. Mbunge au Diwani au Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa ambaye sio CCM??
Ngome ipi?
Watapita hivyo maana akina Makonda ndio walizipitisha. Kifupi Mungu kamkataa huyo bwana japo nguvu za giza zinalaimisha aendelee kuwepoSi unajua walipitaje!!?Kwa mkono was chuma was mwendazake!!!?
Tunafanya siasa za maigizo za kistaarabu tofauti na zile za 2020!
Hiyo ya passport ni siku saba, siyo tatu. Rejea siku aliyofika Arusha.Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.
Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.
Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.
Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 3!
Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.
Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
Ulishaambiwa na nani?Na ushoga, vijana wa Arusha wengi washavuliwa ubingwa na watalii. Unaambiwa after zanzibar, arusha inafata kwa ushoga
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.
Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.
Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.
Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 7!
Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.
Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
Exactly.Makonda ni self destruction machine, sijui ni laana za watu. Alifit kwa Magufuli peke yake maana wanaendana ujinga wao.
Kwanza elewa hakuna mkuu wa mkoa wa milele, ila nyie watumishi wajinga spana zinawahusuMakonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.
Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.
Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.
Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 7!
Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.
Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
Kwa taarifa yako wanaoteseka na makonda ni hayo majizi kwa mgongo wa utumishi wa ummaHakuna kitu kimemuuma Lema na mashabiki wake kama hayo mapokezi.
Akidumu ni lazima iwe miaka mingapi?
Katika Serikali yenye upungufu wa fedha ili kukidhi Bajeti, Makonda anapata wapi pesa za kuwagawia watu wakati yeye mwenyewe anatamka kwamba Viongozi wenzake wanaenda kuomba Mafuta ya Magari kwa Mkurugenzi?Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.
Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.
Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.
Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 7!
Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.
Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.
MAKONDA RAIS 2030 BOMAYEEEExactly.
Lazima uwe mpuuzi sana kuendana na hii kitu isiyo na utaratibu na discipline ya uongozi..jeuri, sifa za kishamba na udhalilishaji. Anaingilia kila kitu ka.a mama wa kiswahili asiejua nafasia
yake
Sisi tunaweka comments wao wanafuta bila hurumaKuna uzi jamaa kalalamika kufutwa kwa uzi wa makonda kufariki nao umepigwa bani