Paul Makonda ni wazi hatadumu Arusha

Umemuacha samia umemrukia makonda
Mwamba ni mwamba tu.kama una chuki zako binafsi basi nakwambia ya kuwa utakufa kwa presha mwaka huu maana unakwenda kumsikia Makonda akiteka anga la siasa za Tanzania na vyombo vyote vya habari kila uchwao kwa habari njema za maendeleo .
Umemuacha samia umemrukia makonda,mkaribishe kwako alale na wewe kitanda kimoja akuliwaze vizuri
 
Ungependa adumu au asidumu?

Mbona pia unawasaidia mahasimu wako wamwondoe Arusha Ili asiharibu wakati kiuhalisia hasimu akiboronga ndiyo furaha kwako?

Uko upande Gani?

MADA Yako Iko kihisia zaidi na kibinafsi!!
 
Aliyemteua ndio kabugi men
Ni kweli Mkuu. Aliyemteua ni mwenye jinsia ya kike lkn yeye kwa kulewa madaraka akatamka wazi kuwa hata uteuzi wake ukidumu kwa muda mchache,.atakuwa ameweka alama. Kila atakaekuja baada yake lazima aseme "kuna MWANAUME" aliyepita hapa.
Kwa tafsiri nyingine wengine hawawezi kwani hawana jinsia ya kiume au wanaume suruali.
 
apo ukishaandika ugoro wako unawatumia screenshot pamoja na invoice ? au wewe unejitolea tu kua ngiri wa watu wasiasa?
 
Amelaaniwa huyo nyamitako wako
 
Dua la kuku
 
Kamwe makonda hajanyanyuliwa na Mungu Bali kabebwa na bi tozo na atakapochoka utamwokota majalalani
 
Ata ondolewa
Ata ondolewa baada ya uwanja wa mpira kumalizika
Na biashara ya kuuza Ngorongoro kukamilika
 
We bado mdogo ubongo bado mteke
 
Ndugu yangu umeyasikia hayo tu? Hujasikia pia akisema wanyonge wasidhurumiwe haki zao maana hawana mtetezi na kwamba yeye ndo atakuwa mtetezi wao? Hilo hukusikia au hulitaki??
 
Fanya kazi acha uongo, kwanza hakusema siku 3 Bali siku 7 ndo kawaida. Pili msafara hakuuleta yeye waliokuja kumpokea ndiyo waliratibu. Huyu mtu anapendwa tusiwe wanafiki.
Ni mnafiq mkubwa na hapendwi hata na CCM wenyewe na utaona nini kitampata Arusha.
 
ashasema hata akikaa siku moja poa tu
 
Mungu amemkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…