Paul Makonda ni wazi hatadumu Arusha

Wakati Yuko benchi walikuwa wanakutana wapi!?
 
Makonda hajaenda Arusha kudumu kama alivokua mwenezi CCM,ameenda kwa kazi maalumu ambayo kapewa na kitengo Cha samiah!!

Huyo ni pace maker kaenda kuiandaa Arusha kuwa ngome ya CCM halafu akimaliza atapangiwa pengine!!

Japo sio mwadilifu kivile lakini style yake ndio inahitajika kwa siasa za sasa!!

Ningekua mimi ningemtumia makonda na Pm majaliwa kukiweka chama mstarini!
 
Wewe ndiye mnafiki na mzushi mkubwa . Kama angekuwa hapendwi angepewaje ushirikiano?
Wanafiq wenzake wa CCM ndio wanamkubali kinafiq. Na wewe ni miongoni mwa wanafiq hatari wa nchi hii.
 
Mkuu, yaani unapoteza muda wako kumjibu huyo mtu.
 
Kwani Arusha kuna. Mbunge au Diwani au Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa ambaye sio CCM??
Ngome ipi?
 
Si unajua walipitaje!!?Kwa mkono was chuma was mwendazake!!!?

Tunafanya siasa za maigizo za kistaarabu tofauti na zile za 2020!
Watapita hivyo maana akina Makonda ndio walizipitisha. Kifupi Mungu kamkataa huyo bwana japo nguvu za giza zinalaimisha aendelee kuwepo
 
Hiyo ya passport ni siku saba, siyo tatu. Rejea siku aliyofika Arusha.
 
 
Makonda ni self destruction machine, sijui ni laana za watu. Alifit kwa Magufuli peke yake maana wanaendana ujinga wao.
Exactly.
Lazima uwe mpuuzi sana kuendana na hii kitu isiyo na utaratibu na discipline ya uongozi..jeuri, sifa za kishamba na udhalilishaji. Anaingilia kila kitu ka.a mama wa kiswahili asiejua nafasia
yake
 
Kwanza elewa hakuna mkuu wa mkoa wa milele, ila nyie watumishi wajinga spana zinawahusu
 
Hakuna kitu kimemuuma Lema na mashabiki wake kama hayo mapokezi.

Akidumu ni lazima iwe miaka mingapi?
Kwa taarifa yako wanaoteseka na makonda ni hayo majizi kwa mgongo wa utumishi wa umma
 
Katika Serikali yenye upungufu wa fedha ili kukidhi Bajeti, Makonda anapata wapi pesa za kuwagawia watu wakati yeye mwenyewe anatamka kwamba Viongozi wenzake wanaenda kuomba Mafuta ya Magari kwa Mkurugenzi?
Pili, leo hii ukimuondoa Makonda Arusha, kwa Staili ya utawala wake, CCM Arusha haitaona ndani mbele ya CHADEMA.
Makonda amejigeuza kuwa Mkombozi wa matatizo ya Wananchi.
Amefanikisha hilo kwa kuwabagaza Viongozi wote hapo Mkoani, bila kujali kuwa huyu ni Mkuu wa Wilaya au Mtendaji wa Kijiji.
Pamoja na kwamba anaonekana Shujaa, hii ni hatari kwa sababu inaficha uhalisia wa matatizo ya Wana-Arusha na Watanzania kwa ujumla.
Mahakamani hakuna haki.
Polisi hakuna haki.
Kwa Mtendaji wa Kijiji hakuna haki.
Kwa Mkurugenzi wa Jiji hakuna haki.
HAPA TAFSIRI YAKE NI KWAMBA MFUMO WA UTAWALA UMEFELI.
MFUMO ukifeli maana yake KATIBA YA NCHI IMEFELI.
Na anayethibitisha yote haya ni Mteule wa Rais, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda.
KATIBA MPYA ndiyo dawa pekee.
 
Exactly.
Lazima uwe mpuuzi sana kuendana na hii kitu isiyo na utaratibu na discipline ya uongozi..jeuri, sifa za kishamba na udhalilishaji. Anaingilia kila kitu ka.a mama wa kiswahili asiejua nafasia
yake
MAKONDA RAIS 2030 BOMAYEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…