Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
"Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
===========================================
Kwanini Makonda ana roho ya uchonganishi namna hii? Hivi huku si kumchonganisha Rais na watumishi wake?
Kuna kipindi alisema kitu in the lines of, kuna watu ambao wanamhujumu Rais na akasema atawataja ila baadae akaingia mitini.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"- RC Makonda.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.

Ww ulianza kuloga kipind klgani? Ulipopatw ukuu wa wilaya uliloga? Na ukuu wa mkoa wa Dar pia uliloga? Ulipotolewa ukuu wa mkoa ulikosea kuloga? Ulipoteuliwa kua katibu mwenez wa ccm uliloga?
Ningekuwa mimi ndiyo Rais, ningemuita Ikulu aje faster kuthibitisha kwanza hiyo kauli yake. Na angeshindwa, ningemtumbua mara moja. Maana Katiba ya nchi haitambui uwepo wa uchawi.
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
===========================================
Kwanini Makonda ana roho ya uchonganishi namna hii? Hivi huku si kumchonganisha Rais na watumishi wake?
Kuna kipindi alisema kitu in the lines of kuna watu ambao wanamhujumu Rais na akasema atawataja ila baadae akaingia mitini.