Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye umefikiwa Bwashee 😄🔥Kama kuna mtu kajua kumuingiza chaka huyu anaongoza
Kwani makonda hadi anakumbukwa na Samia, kamtupia majini mangapi Hadi akawashinda akina Lucas Mwashambwa Pascal Mayalla nk.Wakuu,
Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha.
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
===========================================
Kwanini Makonda ana roho ya uchonganishi namna hii? Hivi huku si kumchonganisha Rais na watumishi wake?
Kuna kipindi alisema kitu in the lines of kuna watu ambao wanamhujumu Rais na akasema atawataja ila baadae akaingia mitini.
Leo tena amerudia maneno yake haya.
View attachment 3173017
Huyo mganga wake atakuwa si wa nchi hii😁Amalizie kwa kusema "Nimepiga ramli nimeona Mwigulu Nchemba anavyo mloga"
SadNchi iko kwenye autopilot.
Nchi iko kwenye autopilot.
Makonda ni mchawi.Mchawi lazima awajue wachawi wenzake.
Kwani mbona anaeleweka. Chawa ni watu hatari. Sio wazalendo ni wabinafsi wanatafuta ukuu kwa kila hila ili kujineemesha binafsi tu.Wakuu,
Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha.
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
"Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
===========================================
Kwanini Makonda ana roho ya uchonganishi namna hii? Hivi huku si kumchonganisha Rais na watumishi wake?
Kuna kipindi alisema kitu in the lines of, kuna watu ambao wanamhujumu Rais na akasema atawataja ila baadae akaingia mitini.
Leo tena amerudia maneno yake haya.
View attachment 3173017
"
Makonda na akili wapi na wap?Makonda ana akili sana
ndio mana wewe sio raisi mkuuNingekuwa mimi ndiyo Rais, ningemuita Ikulu aje faster kuthibitisha kwanza hiyo kauli yake. Na angeshindwa, ningemtumbua mara moja. Maana Katiba ya nchi haitambui uwepo wa uchawi.
Huwezi kujua mchawi kama nawe siyo mchawi,huo ndiyo ukweli.Makonda ni mchawi.