WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Anapenda mambo ya kishirikina.Hahaha una ushahidi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapenda mambo ya kishirikina.Hahaha una ushahidi mkuu?
Ukiachana na Nafasi aliepo ambayo ni ya kisiasa chochote anachofanya ni Siasa..Angemfuata Rais private kumwambia. Amekuja kuongea on stage ili iweje kama sio uchonganishi?
Kwamba huyu hana namba ya Rais?
Na kwanini hajawataja hao watu wanaomroga Rais kama kweli ana nia njema?
Namna nzuri ya kumwambia mtu kwamba hafai, anaharibu kazi na imemshinda ni kusema amerogwa.Wakuu,
Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha.
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
"Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
===========================================
Kwanini Makonda ana roho ya uchonganishi namna hii? Hivi huku si kumchonganisha Rais na watumishi wake?
Kuna kipindi alisema kitu in the lines of, kuna watu ambao wanamhujumu Rais na akasema atawataja ila baadae akaingia mitini.
Leo tena amerudia maneno yake haya.
View attachment 3173017
"
Kwani uongo .......wale nyamafu wa Tanga ndo zaoWakuu,

Makonda yupo sahihi miafrika ndio ilivyoWakuu,

Wameacha kumtukana na kuwalipa watukanaji na sasa wameanza kumroga!Wakuu,

Wakuu,

[/QUOTMrogwa naweza kuwa Mrogi piaWakuu,

Labda mchawi mwenyewe ni yeye. Imesemwa mara nyingi kuna huyu mtu ni mtu anayeamini sana katika ushirikina. Inasemwa kuwa aliwahi kuwapeleka wanga ikulu wakati wa awamu ya 5.Wakuu,
Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha.
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
"Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
===========================================
Kwanini Makonda ana roho ya uchonganishi namna hii? Hivi huku si kumchonganisha Rais na watumishi wake?
Kuna kipindi alisema kitu in the lines of, kuna watu ambao wanamhujumu Rais na akasema atawataja ila baadae akaingia mitini.
Leo tena amerudia maneno yake haya.
View attachment 3173017
"
Oyaa, Uchawi upo, tuache mbwembwe mkuu.Kuwa na viongozi wanaoamini uchawi ni hatari sana Kwa Nchi.
domo lopo lopo....shida ana ulimi mkubwa kuliko mdomoWakuu,