Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Amewajuaje wasirikina kama yeye siyo miongoni mwao?? Kutwa Kiongozi Mkubwa wa Mkoa kuhubiri ushirikina. Upumbavu wa hali ya juu. Kuwaambia watu kwamba kuna wanafanya ushirikina kwa watoto wenu ndiyo maana wanakuwa walevi, unategemea nn kama siyo kuwagombanisha raia anaowaongoza?? Hafai kuwa Kiongozi.Huyu mjinga alitumia staili hii kumtisha Magufuli kuwa anasumbuliwa na majini aliyoacha JK pale ikulu hadi Jiwe akamuamini na kumpa kandarasi ya kumletea jopo la waganga na ndiyo ilipelekea Magufuli kumuamini sana. Sasa naona anakuja na gia hiyo tena kwa Samia. Makonda ni mshirikina wa kiwango cha juu sana .
Hivi Tanz ina Mkuu wa Mkoa mmoja tu?? Napata sababu kwamba kwanini Wanaccm wenzie walimkataa kuwa Muenezi wa Chama chao. Sasa ni wakati nao Arusha wamtose. Vinginevyo watafarakanishwa kwa mahubiri ya kishirikina kila kukicha.
