CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyu jamaa akitaka jambo lake hana aibu yuko tayari kufanya au kufanywa chochote ndiyo maana Mzee Six alifanya vile.Anajua kujipendekeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa akitaka jambo lake hana aibu yuko tayari kufanya au kufanywa chochote ndiyo maana Mzee Six alifanya vile.Anajua kujipendekeza.
Ile sumu naona ilishafika kwenye ubongo ndiyo maana anaropoka ovyo,wangeongeza dozi kidogo tu sasa angekuwa ameshasahaulika.Akitoka kumloga mama Abdul😀😀😀
View attachment 3173175
Imawezekana ndugu yangu ,Dunia ina mengi sanaAnataka apewe kandarasi ya kuleta walozi toka Gamboshi.
Kuroga siyo lazima uwe uchawi. Acheni ramli chonganishi.Ningekuwa mimi ndiyo Rais, ningemuita Ikulu aje faster kuthibitisha kwanza hiyo kauli yake. Na angeshindwa, ningemtumbua mara moja. Maana Katiba ya nchi haitambui uwepo wa uchawi.
Huyu mkaka wa nyuma kwann amemshika mheshimiwa hivyo?Akitoka kumloga mama Abdul[emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 3173175
Kipindi lile alilambishwa sumu alikuwa anasindikizwa kwenda kutolewa sumu kwa Babu Madiba.Huyu mkaka wa nyuma kwann amemshika mheshimiwa hivyo?