Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Kwa wakati ni busara kukaa kimya.

Kwahiyo anakiri kutumia madaraka yake vibaya kuzuia mamlaka nyingine kama TCRA kufanya kazi zao.
 
Ili uone si jambo la kushanga Wala kudadisi
Kwa hiyo katika akili yako jambo likisemwa na wengi awali tu linakuwa si jambo la kushangaza wala kudadisi?

Let me count the logical fallacies here.

1. Appeal to popularity.
2. Non sequitur.
3. Problem of induction
4. Appeal to tradition.
 
Anajaribu kutumia logic yako kwa wanaomtaja JPM kwenye tuhuma wakati yeye kafa.
Kama tunasema Makonda hawezi kumtaja Ruge sababu kafa basi tusimsikilize mtu anaye mtaja Lowassa au Magufuli, n.k.
Anayemtaja kivipi?

Anayesema Magufuli alikuwa rais wa Tanzania naye tusimsikilize kwa sababu Magufuli amefariki?

Jenga hoja yako kwa clarity.
 
Huyu jamaa na Sabaya staili zao za uongozi zinafanana, matumizi mabaya ya madaraka kwa maslahi binafsi...ni kwakuwa tu mamlaka za juu nchini huwa haziko smart, mama hakupaswa kabisa kumrudisha tena ktk nafasi za kuteuliwa.
 
Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Bora angeendelea kukaa kimya,amechafuka na anazidi kujichafua,sijui kwanini watu wa namna hii wanaendelea kupewa dhamana ya kuongoza watu wakt ata kujiongoza wenywe wanashindwa.
 
Anayemtaja kivipi?

Anayesema Magufuli alikuwa rais wa Tanzania naye tusimsikilize kwa sababu Magufuli amefariki?

Jenga hoja yako kwa clarity.
Namaanisha kumtaja katika tuhuma mbalimbali zinazo hitaji muhusika atoe majibu au utetezi.
Mfano utekaji na mauwaji.
 
Anayemtaja kivipi?

Anayesema Magufuli alikuwa rais wa Tanzania naye tusimsikilize kwa sababu Magufuli amefariki?

Jenga hoja yako kwa clarity.
Kusema Magufuli alikuwa raisi wa Tanzania hii siyo tuhuma.
Katika maelezo yangu nimesema wazi asitajwe kwenye tuhuma.
 
Kwahiyo nape kama waziri aliongelea swala la cloud akafukuzwa kazi naMagufuli kasahau? Pia kasema alisaidia kodi ziibwe pale TRA anajishitaki yuko sawa kweli huyu Bashite Swala la Lisu Halina ubishi kwanini hatubu ?kumbe watu wanaenda makanisani kuzihaki ,kwl unafiki huu yesu alisema wapo wanafiki, alimwambia petro
utanikana ,petro,inaonyesha bila mascara kweli huyu bashite shule ndogo sana,pia ajue hataipite miaka Mia kesi iPod palepale
 
Bora angeendelea kukaa kimya,amechafuka na anazidi kujichafua,sijui kwanini watu wa namna hii wanaendelea kupewa dhamana ya kuongoza watu wakt ata kujiongoza wenywe wanashindwa.
Mimi nadhani kuna Jambo lipo mbeleni laja. Kaanza maandalizi ya utetezi.

Akishayamaliza ya Clouds aje atueleze alikuwa akimkingia Mzee Warioba kwa lipi au kwanini alimnasa kibao yule Mzee??
 
Si apande ndege aende USA atapata majibu pale customs halafu arudi atudanganye kivingine.
atawanyoosha bila fimbo msiyempenda
 
Let me count the logical fallacies here.

1. Appeal to popularity.
Which basic evidence is being missed here that leads the argument to be seen as the " appeal of popularity"?
2. Non sequitur.
It depends on the basis of formulation of conclusive statement. For instance , if the discussion of results is wrongly crafted even if the results were prepared by the "guru" the conclusion will always be seen as "non sequitur
3. Problem of induction
The sun will always rise in the morning for every tomorrow no matter what!!! That is "physical law" unless you are referring to "alien's laws"
4. Appeal to tradition.
It is only entropy that might be confusing otherwise, Maji hayawezi kupanda mlima kwa Hali ya kawaida.

===
Napumzisha shauri langu.
 
TUNGEWEZA KUTUMIA HATA NJIA YA ASILI YA UOKOAJI.

TUNGEPANGA MISTARI KUMI,
WENGINE WANAJAZA UDONGO KWENYE NDOO.
WENGINE KWENYE FOLENI TUNAJAZA MALOLI 200 MENDE.

NDANI YA MASAA KUMI KUSINGEKUWA NA KIFUSI. WATU WOTE WALIOFUKIWA WANGEOKOLEWA.

SELIKALI INASHINDWA KUNUNUA MITAMBO YA UOKOZI.

NI LAANA KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU
 
Back
Top Bottom