Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hivi kwanini makonda anakubalika sana na wafuasi wake Instagram tofauti na wanachama wa jamii forum
Makonda Mwamba anakubalika kila sehemu .ndio maana hata humu angalia watu wanavyofungua nyuzi kumzungumzia na kumpongeza kwa uchapa kazi wake uliotukuka.
 
Kwa lini umewahi kusema kuwa watu wananiheshimu humu jukwaani?
Mwanzoni wakati unaanza uchawa at least ulikuwa chawa mwenye akili kidogo na watu walikuwa wanakupa heshima kwa kusoma threads zako. Ila ulipofikia kuwa chawa mwenye ngozi ngumu watu wanangalia juu tu na kucheka tu,kwa sasa kama hujui hakuna anayesoma ujinga wako. Ukitaka kujua hili angalia kama kuna mtu anakupinga kwenye hoja iliyo ndani au katikati ya thread yako. Wakupinga kwa ujumla kwani hawasomi ujinga wako tena.
No offense intended
 
Sijamuona Katibu Mkuu CDE Dkt Nchimbi na CDE Makalla kwenye Mei Mosi hapa Arusha.
Hata kama wangefika wasinhetoa majibu ya kero za watumishi.
Pia sio shuhuli za chama chao ni skukuu ya wafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…