Tutafika kweli kwa style hiiNawe weka picha shangazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafika kweli kwa style hiiNawe weka picha shangazi.
Sina ID Zaidi ya hii nayotumia siku zote.Wacha weeeeee. Naona unakuja na ID zako mbili mbili kuanzisha uzi na mwingine kucomment.
Huna marinda mzee🤣🤣🤣🤣Sina ID Zaidi ya hii nayotumia siku zote.
Ukikua utaacha kuandika utoto wako.kwa sasa acha niendelee kukusamehe tu.Huna marinda mzee🤣🤣🤣🤣
Huna marinda mzee tafuta hela halali🤣🤣🤣🤣🤣Ukikua utaacha kuandika utoto wako.kwa sasa acha niendelee kukusamehe tu.
Sasa karanga zinafikaje hapa? Nimekuuliza kwanini usiungane naye kutamba?Katafune karanga unywe maji ulale!
Mm na wewe nani anapaswa kuacha huo utoto? Wewe unaishi kwa kusifia wanaume wenzio na kubandika namba za cm ili upigwe salio?.ungeenda shule usingekuwa ulivyo wewe.Acha utoto wewe.
Sijatumwa.Umetumwa?
CCM inafanya kazi ya kuweka mazingira mazuri na wezeshi ili kila mmoja kutumia fursa hiyo kujiinua kiuchumi na kujipatia kipato. Hata upewe million mia kwa mwezi unaweza ukaishi maisha mabaya kama huna mipango na nidhamu ya pesa .Mwanangu mbona unatutia aibu watu wa Mbeya.Sisi sio wanafki Babu Viongozi wote wanajua wakija wanakuja mbeya kwa Adabu.Sasa unajivunia Nini wakati wafanya kazi wanalia hali duni ya Maisha kila uchao.Chama chako kinafanya kazi gani?
Watu wanawaza nyongeza ya mshahara wewe unamuwaza mumeoNdugu zangu Watanzania,
Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi kutokea katika Historia ya sherehe za Mei Mosi. Hii inabaki katika kumbukumbu ya Mei Mosi iliyohudhuriwa na watu wengi sana kuwahi kutokea katika Taifa letu.
Makonda ni Mwamba na bingwa wa mikakati na Jabali la mipango na hamasa. Jamaa anakubalika na kiongozi mwenye nyota kali sana ya kupendwa na watu pamoja na kuheshimika.leo Arusha imeitikia,kanda ya kaskazini imeamka na kwenda kuungana na Mwamba Makonda katika mapokezi mazito ya ugeni wa kitaifa na watu kutoka maeneo mbalimbali ya Taifa letu.
Kwa hakika ukitaka shuguli yako ipendeze katika jambo lolote lile ,basi wewe mkabidhi kazi hiyo Mwamba Makonda halafu muachie akufanyie kazi.kwa hakika leo Mwamba ameonyesha yeye ni mtu na nusu,ni kipenzi cha wana Arusha na watanzania wote kwa ujumla ,ni kipenzi cha vijana na watu wa makundi mbalimbali na ni kiongozi wa kutumainiwa na kutegemewa kwa Taifa letu.
Ipo siku Mwamba atashika nafasi za juu kabisa za uongozi ndani ya serikali yetu.ipo siku watu wataandamana na kumbeba Mwamba Makonda Mabegani mwao kumshukuru ,kumpongeza na kumtia moyo kwa uchapa kazi wake. Ukimchukia Mwamba Makonda unajiumiza tu maana kwa kadri unavyomchukia ndivyo anavyodhidi kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona umenijibu kwa I'd hii wakati sujakuuliza wewe? Umejichanganya sio kwenye majibu yako? Nani alikuuloza wewe kuwa una I'd tofauti?😀😃Sina ID Zaidi ya hii nayotumia siku zote.
Hatutafika kwa style hii. Lete picha basi aunty?😀😀😀😀😀😀Tutafika kweli kwa style hii
Na wewe ni mfanyakazi?Watu wanawaza nyongeza ya mshahara wewe unamuwaza mumeo
Huyo Mpiga debe wa Pale Mbozi hana lolote. Anajitahidi kuwa chawa lakini jamaa zinamkataa.Watu wanawaza nyongeza ya mshahara wewe unamuwaza mumeo
Ulijua ni mnywa ulanzi na kande kama wewe?Na wewe ni mfanyakazi?
Baki kwenye reality ya Makonda.Jibu hoja badala ya dislike. Ungedodaje kama kuna roll-call na posho mkoa mzima umekusanywa?