Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mwanangu mbona unatutia aibu watu wa Mbeya.Sisi sio wanafki Babu Viongozi wote wanajua wakija wanakuja mbeya kwa Adabu.Sasa unajivunia Nini wakati wafanya kazi wanalia hali duni ya Maisha kila uchao.Chama chako kinafanya kazi gani?
 
CCM inafanya kazi ya kuweka mazingira mazuri na wezeshi ili kila mmoja kutumia fursa hiyo kujiinua kiuchumi na kujipatia kipato. Hata upewe million mia kwa mwezi unaweza ukaishi maisha mabaya kama huna mipango na nidhamu ya pesa .
 
MAKONDA AMETHIBITISHA UMWAMBA, KIPAJI, KUPENDWA, UBUNIFU ..YAAN NAKOSWA MANENO KUDADEKI 🀣🀣🀣🀩🀩🀩🀩🀩🀩🀩🀩🀩
 
Watu wanawaza nyongeza ya mshahara wewe unamuwaza mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…