Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Did you think about wale wafanyakazi walio sinzia kumsikiliza VP?Mwamba Makonda anawatesa sana wapinzani na nyumbu wa CHADEMA. Mafuriko yaliyomiminika leo uwanjani mpaka wengine kukosa nafasi na kuamua kubakia nje ya uwanja kumewaumiza sana CHADEMA, mpaka sasa wamebaki wanaweweseka tu kama wagonjwa wa malaria kali. Hapo bado Mwamba hajamaliza hata nusu mwaka.
Kwa hiyo wafanyakazi wa TZ wamefurahishwa na wadudu?
Basi hao watumishi ni wajinga kiasi hiki kweli?