Umewaona wakivuta au uliwauzia?Au wakijitapa kwamba ni wavuta bangi?Bange ni togwa!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewaona wakivuta au uliwauzia?Au wakijitapa kwamba ni wavuta bangi?Bange ni togwa!?
Wadau mtaniwia radhi kwa hili,
Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule.
Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda.
Wakati ule alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliwahi kumchana makavu Pierre liquid(pale Mlimani city kwenye kongamano la mtoto wa kike) akisema:
"HATUWEZI KUWA NA TAIFA AMBALO LINA-PROMOTE WATU HOVYO, WANAKUWA HADI MA-BRAND AMBASSODOR... HALAFU UNATEGEMEA WATOTO WETU WATAFIKIA KWENYE MAFANIKIO??
Mimi nilielewa alikuwa akiwakosoa na kuwashambulia watu waliokuwa wanam-brand na kumprote kwa sababu alikuwa mlevi na comedian.
View attachment 2978301
Picha linageuka,
Leo ni yeye huyuhuyu anawapromote na kuwabrand wadudu/machalii wa Arusha akisema:
"HAWA WADUDU NI JINA, NI BRAND, MKOA HUU NINA KILA AINA YA VIJANA WENYE VIPAJI MBALIMBALI ........"
View attachment 2978302
Sasa hawa wadudu wana tofauti gani na Pierre wa wakati ule?
Amesahau? Au ndo siasa ilivyo?
JF imepoteza kqbisa GT !Wadau mtaniwia radhi kwa hili,

Kufa tu kama una hasira .kunywa hata sumu ya panya UFE kabisaNinyi ndio huwa mnapakatwa na kusokomezewa vitu vigumu makalioni .
Yaani jitu zima na nywele mpaka kwenye pumbu unakaa kusifia wanaume wenzako hao mataahira wa ccm
Acha uchoko jinga we
Ukisema "wadudu wanadirishwa ili wawe watu wa maana," unamaanisha kwa sasa ni watu wa hovyo. Na ndo ukweli upo hivyo.Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba, hao wa dudu Wana adirishwa ili wawe watu wa maana, na mda so mrefu utaakutana nao wakiwa watu wa maana kabisa.
Piere alikuwa ana promotiwa kuwa mrevi.
Vitu tofauti.
Acha kusifusifu waume zawatu...Sasa ndio umeandika nini hapa?
Kamati ya maadili imemnyoosha ajaribu ujinga wake tena aone...Wadau mtaniwia radhi kwa hili,
Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule.
Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda.
Wakati ule alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliwahi kumchana makavu Pierre liquid(pale Mlimani city kwenye kongamano la mtoto wa kike) akisema:
"HATUWEZI KUWA NA TAIFA AMBALO LINA-PROMOTE WATU HOVYO, WANAKUWA HADI MA-BRAND AMBASSODOR... HALAFU UNATEGEMEA WATOTO WETU WATAFIKIA KWENYE MAFANIKIO??
Mimi nilielewa alikuwa akiwakosoa na kuwashambulia watu waliokuwa wanam-brand na kumprote kwa sababu alikuwa mlevi na comedian.
View attachment 2978301
Picha linageuka,
Leo ni yeye huyuhuyu anawapromote na kuwabrand wadudu/machalii wa Arusha akisema:
"HAWA WADUDU NI JINA, NI BRAND, MKOA HUU NINA KILA AINA YA VIJANA WENYE VIPAJI MBALIMBALI ........"
View attachment 2978302
Sasa hawa wadudu wana tofauti gani na Pierre wa wakati ule?
Amesahau? Au ndo siasa ilivyo?
GTs,
Sijamuona Katibu Mkuu CDE Dkt Nchimbi na CDE Makalla kwenye Mei Mosi hapa Arusha. Ila nadhani kimoyo moyo walijisema lazima watu wasusie kwenda Arusha kisa Makonda. Ila kwa hiyo nyomi nadhani wajiulize maswali mengi sana kwanini? Mungu ambariki sana Makonda.
Kwani ubaya ni kupromote ulevi tu.Hawa wadudu wana promote ulevi? Alichokuwa akipinga ni ku promote ulevi. Mlinganisho wako haupo sawa. Umeona wadudu waki promote ulevi?
ukiwa mgeni katika siasa utajaza makumbukumbu ya political stataments mengi mno kwenye librabry yako, lakini pia lazma upate tabu kidogo kuelewa siasa.....Wadau mtaniwia radhi kwa hili,
Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule.
Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda.
Wakati ule alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliwahi kumchana makavu Pierre liquid(pale Mlimani city kwenye kongamano la mtoto wa kike) akisema:
"HATUWEZI KUWA NA TAIFA AMBALO LINA-PROMOTE WATU HOVYO, WANAKUWA HADI MA-BRAND AMBASSODOR... HALAFU UNATEGEMEA WATOTO WETU WATAFIKIA KWENYE MAFANIKIO??
Mimi nilielewa alikuwa akiwakosoa na kuwashambulia watu waliokuwa wanam-brand na kumprote kwa sababu alikuwa mlevi na comedian.
View attachment 2978301
Picha linageuka,
Leo ni yeye huyuhuyu anawapromote na kuwabrand wadudu/machalii wa Arusha akisema:
"HAWA WADUDU NI JINA, NI BRAND, MKOA HUU NINA KILA AINA YA VIJANA WENYE VIPAJI MBALIMBALI ........"
View attachment 2978302
Sasa hawa wadudu wana tofauti gani na Pierre wa wakati ule?
Amesahau? Au ndo siasa ilivyo?

Kwani mada ni nini?Makonda alikemea ulevi kupromotiwa kwenye suala la Liquid!Kwani ubaya ni kupromote ulevi tu.
Kumbe Hauna akili.Yaani kama ningekuwa mtu wa siasa ningeichukua video ya wadudu wa R chuga wakiingia uwanjani leo Meimosi, then nikaimute sauti halafu nikaipandishia juu yake sauti ya mheshimiwa alipokuwa akimpa makavu Pierre liquid pale mlimani city ili niwe najiburudisha.
huyo konda aanzishe chama chake,akiwa ndani ya ccm ni mwepesi sana wazee wanamzoom tuGTs,
Sijamuona Katibu Mkuu CDE Dkt Nchimbi na CDE Makalla kwenye Mei Mosi hapa Arusha. Ila nadhani kimoyo moyo walijisema lazima watu wasusie kwenda Arusha kisa Makonda. Ila kwa hiyo nyomi nadhani wajiulize maswali mengi sana kwanini? Mungu ambariki sana Makonda.
Swali zuri sana.Ukisema "wadudu wanadirishwa ili wawe watu wa maana," unamaanisha kwa sasa ni watu wa hovyo. Na ndo ukweli upo hivyo.
Na kwakuwa pierre naye alikuwa mtu wa hovyo, kwanini asingeadirishwa ili awe mtu wa maana.