Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Did you think about wale wafanyakazi walio sinzia kumsikiliza VP?
Kwa hiyo wafanyakazi wa TZ wamefurahishwa na wadudu?
Basi hao watumishi ni wajinga kiasi hiki kweli?
 
If you can't beat them join them simple tu ndo alichofanya makonda jiji la Arusha linaenda kua jiji tulivu tofauti na lilivyokua limezoeleka
 
Watu wanaangalia madudu ya wadudu.inastaajabisha kiukweli siku kama hii wanatuletea madudu kama haya. Wametuona wadudu wanatuletea madudu ya wadudu.
 
Kuna jema unaloweza kuongea kuhusu Makonda?
 
If you can't beat them join them simple tu ndo alichofanya makonda jiji la Arusha linaenda kua jiji tulivu tofauti na lilivyokua limezoeleka
Angeanza kuwakamata hovyo na kuwafunga angepata tabu kidogo.
 
 
Acheni kuweweseka .kaeni kwa kutulia kabisa maana huo ni mwanzo na mvua za rasha rasha tu.nilishawaambieni kuwa CHADEMA mnakwenda kupotea kabisa ukanda wa kaskazini.
Hakuna anayeweweseka niweweseke kwani mimi ni mtumishi wa umma?

Mnasomba watu kwa kuwafanyia intimidation kutafuta cheap popularity .

Yaani sherehe za Mei mosi zikiwa za hiari ungeona kama hao mnaowaonea wangekubali kwenda kupigwa na jua huku wakipiga makofi ya kinafiki .
 
Yaani nimeshangaa serikali kusapoti ududu. Sio jina zuri
 
Kuitwa mdudu au.wadudu ni kudhalilisha na kudunisha utu mtu. Hata kama wanapewa fedha bado ni kufedheheshwa na Arusha tutakataa kuwa wadudu. Uwezo wa kuyaangallia maswala utu na haki za watu umepungua sana. Elimu yetu hatupi mang'amuzi ya haki za binadamu.
 
The problem is CCM not the generation.
 
Huko ndio kuweweseka kwenyewe unakosema kuwa watu walisombwa na kulazimishwa kwenda.jambo ambalo ni la uongo na uzushi mkubwa sana usio na chembe ya aina yoyote ile ya ukweli.kwa sababu kila mtu anafahamu namna watu walivyokuwa na furaha na morali kubwa ya kuhudhulia sherehe hizo za ndio mosi. Unaweza vipi wabeba watu maelfu kwa maelfu mpaka wengine wakawa nje ya uwanja? Utawabeba kwa kutumia nini? Acheni wivu na chuki binafsi maana tunakoelekea mtaugua presha tu kwa sababu CHADEMA mnakwenda kubakia katika makabati chakavu.
 
Meneja wa Makampuni una Akili nyingi sana, umeona mbali.😉
 
Joyce wowowo ana ubinifu au anatia gundu sherehe ya wafanyakazi kwa kuweka uccm wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…