Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

PCM is one of the best

Nimeona kina bashe na bashungwa wanaiga

Wao wanafanya kwa sababu ya Uchaguzi

Makonda ni nature yake

Ni mtendaji
SURE, Huyu jamaa nature yake, haogopi watu wala vitisho. Tunahitaji mtu wa namna hii kwa sasa. Ujinga ujinga na utapeli vimezidi nchi hii. Uzembe mwingi sana
 
Punguza uchonganishi. CCM inahusikaje hapo?? Si alikuwepo Mongela anakula bata tu? Kwanini usimshangae Mongela unaishangaa CCM? Makonda mmemtoa huko CCM na madhara yake mnayaona, sasa kumfuatafuata huko Arusha inahusu nini?

Sasa hivi Kinana analazimika kufanya kazi ya Mwenezi na KM.
Mkome na ujinga wenu eti watoto wa mjini
 
Usichokijua mtoa hoja/mada, hata hao viongozi wengine wanazijua shida za hao wananchi. Nakuhakikishia itaishia kama Dar tu. Wajane, waliozulumiwa viwanja hawakusaidiwa pia.

Same management style with zero outcome.
 
Kwani huwezi kusema, Ungetamani kuona viongozi wote wawe kama Makonda kwa jinsi asivyo mtu wa kufunga milango na kujiwekea utaratibu mgumu usioingilika kirahisi kwa wananchi kupeleka shida zao?

Makonda anapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa wafanyakazi wa umma

Mtu kwa kuwa tu umeteuliwa, basi inakuwa nongwa, huna muda wa kuonana na watu wenzako na hutaki uwasaidie utadhani wewe siyo binadamu, viongozi wa aina hiyo ni wapumbavu wote! Wanatukera sana huku kwenye maofsi yao, sjui wanataka mpaka tuwaite mungu au tuwapigie magoti na kuwasujudu?

Makonda, piga kazi kijana ukizingatia siku zetu ni fupi sana, acha alama Kiongozi
 
Kwanini usiseme Makonda apewe uwaziri mkuu?
 
M/Mungu atujalie mwisho mwema
 
Makonda hajawahi kutatua kero ya mtu yeyote zaidi ya kuwadhalilisha wahusika. Aliwahi kuwaita akinamama Dar es Salaam waliotelekezewa watoto, hakuna alichokifanya. Akajifanya kuwasaidia walimu wapate vitambulisho ili waweze kupanda bure daladala, hiyo nayo ikashindikana kwa kuonekana ni kama walimu wanadhalilika zaidi kwenye daladala kuliko kusaidika. Ilipokuja ishu ya dawa za kulevya, akaja na orodha ndefu ya majina ya watu aliokuwa na visasi nao. Zaidi ya hapo kilifuata nini, hakuna mtu hata mmoja aliyefungwa mahakamani kwa kosa hilo la dawa za kulevya. Hata kwenye ziara zake za uenezi amefanya kitu gani? Anadhalilisha tu watu kupitia matatizo yao, huku yeye akitafuta kiki ya kisiasa
 
Kuna Ded halmashauri zote, Tiss,takukuru, RPC, Ocds, wakuu wa wilaya , das.
Hawakuyaona haya matatizo tangu awali?
Hawakuwa na muda wa kuwasiliza wananchi?
Kweli wananchi wanajiendee tu barabarani ,bila serikali kuwajali
 
Wasalam wanaJF wote na wapenda Haki kama Makonda anavyojiita

Naomba kufahamu hizi operation za Rc Paul Makonda za haki anazoziendesha za siku tatu ikiwemo kuweka watu ndani
Kama tulivyoona yule mwenye kampuni ya kukopesha aliye mkopesha mtu milioni tatu na kchukuwa nyumba yenye thamani ya 50m

Pia tumeona makonda akisema atamjengea bibi Penina Nyumba ambaye ananyanyaswa na ndugu zake.


Nimemuona Makonda akijitahidi sana kweli ni jambo jema sana watu kupata haki

Makonda ameonekana mtetezi wao huku akitumia makamera kila tukio.

Kwa kuwa haki ni haki na ili haki ipatikane lazima ionekane kutendeka.

Je kuna chombo chchotr cha habari kinaweza kutupa mrejesho kwa wahanga au ni hizi habari za mwanzoni tu after there wataripoti mengine?
 
Makonda anajitahidi sana, sijui kwanini wakuu wa mikoa wote wasitembelee nyayo hizo hizo za Makonda

Yule mama alietapeliwa malori manne na hawara yake media zilicover hadi wakati polisi wakienda kuyakamata hayo malori na kuyaweka chini ya ulinzi
 
Kwenu shida zimeisha? Mbona we ukoo wako bado maskini
 
Jobless Chawa kwenye ubora wako... Umeamua kutumia Original ID na kapicha kako ka graduation ya degree yako ya kuungaunga ya ("PASS") kutoka C.B.E, sijui T.I.A au I.A.A ya business administration au marketing ukitegemea bahati ya mtende kupitia mtandaoni, ukidhani wezi watakufata P.M uungane nao kuiba na kupora mema ya nchi.
 
Huo ni mtazamo wako na makasiriko yako lakini ukweli lazma tuseme na yawekana chuo nilichosoma we na kichwa chako huwez maliza hata semester 🤣
 
Chuo nilichosoma na degree yangu we Kwa semester moja hutoboi 🧠🧠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…