Kwani huwezi kusema, Ungetamani kuona viongozi wote wawe kama Makonda kwa jinsi asivyo mtu wa kufunga milango na kujiwekea utaratibu mgumu usioingilika kirahisi kwa wananchi kupeleka shida zao?
Makonda anapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa wafanyakazi wa umma
Mtu kwa kuwa tu umeteuliwa, basi inakuwa nongwa, huna muda wa kuonana na watu wenzako na hutaki uwasaidie utadhani wewe siyo binadamu, viongozi wa aina hiyo ni wapumbavu wote! Wanatukera sana huku kwenye maofsi yao, sjui wanataka mpaka tuwaite mungu au tuwapigie magoti na kuwasujudu?
Makonda, piga kazi kijana ukizingatia siku zetu ni fupi sana, acha alama Kiongozi