songa mbele sasa bila kubabaika πkwani kumshabikia mtu kunahitaji uoga au ujasiri?
kumshabikia mtu ni maamuzi yako binafsi kulingana na kile ukipendacho kutoka kwake.
mfano mimi namchukia Makonda, na ni maamuzi yangu.
Sasa akiwa Mbunge hawezi kuwasaidia.Atajisaidia mwenyewe na ataendelea kulalamika Kwa Mawaziri kama Mpina ππkwa style ya namna anavyofanya kazi zake kuiongoza Arusha, akiendelea kuwapo Arusha, na kwa mfano akataka hata kugombea ubunge atashinda mapema asubuh sana,
lakini pia pale Arusha mgombea yeyote mathalani wa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, ubunge au urais atakae kua endorsed na Makonda Lazima atashinda tena kwa kishindo sana π
mathalani akipata ubunge na akapewa na uwazri aiseee π€£Sasa akiwa Mbunge hawezi kuwasaidia.Atajisaidia mwenyewe na ataendelea kulalamika Kwa Mawaziri kama Mpina ππ
Kazi nzuri kwake ni hiyo kama anataka kuwa jirani na watu ila kama anataka Ubunge atawaacha na sio guarantee kwamba atapata Uwaziri
Hao si ndiyo kama lile tapeli Mmasi wa Tanga, anaambiwa na Waziri atoke kwenye nyumba ya watu,eti anasema bado yuko mahakamani, kumbe mjane wa watu hadi Hukumu ya Mahakama Kuu anayo tayari! Waziri akalitoa nje na vyombo vyake, akaambiwa utashinda mahakamani ukiwa nje!!Wewe acha uongo na maneno mengi! Makonda kwenye kliniki yake ya kutatua kero za wananchi amewatumia wanasheria wa Tanganyika Law Society! Mnapenda kumwekea maneno mengi na ujinga ujinga mwingi sana!
Naam Allency niko na familia mkuuUmeandika kama Lucasi katika jinsia ya kike. Hivi Bashite ni wa kutolewa mfano mzuri! Tanzania tuna watu wa ajabu sana. Kuna mtu aliwahi kusema kuwa unakuta na wewe una familia kabisa na watu wanakuita mzazi
Umefuta machozi ya uenezi tayari? Maana ulikua unalia kwa kuacheki video za mwenezi na sasa RC! Samahani nimekuja kwa amani tu, hiyo sura kwa avatar ni yako?Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.
Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.
Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Ndugu Julia babu,isije kuwa wadudu wa ar chuga walisha mpoteza mazima tuπ€£Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.
Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.
Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Labda Samia amuonee huruma,asipopata ni hasara Kisiasa ila ni faida kwakemathalani akipata ubunge na akapewa na uwazri aiseee π€£
atakua zaidi ya yule magufuli wa miundombinu, ardhi na uvuvi π
unaelewa huyu kijana ni sensitive sana politically speaking....Labda Samia amuonee huruma,asipopata ni hasara Kisiasa ila ni faida kwake
Wajinga mnazidi kumsifia Mjinga mwenzenuTangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.
Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.
Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Sasa Ukiwa Mbunge utatatua vipi hizo shida hata ukisikiliza? Ni lazima uwe na executive orders iwe kwenye chama au Serikalini.unaelewa huyu kijana ni sensitive sana politically speaking....
alisense, akathibitisha na kujiridhisha kwamba, kwa upande moja anakubalika na kwa upande mwingine hakubaliki in both within the party, govt and in publics at large π
ameasess mazingira yote hayo,
na sasa amekata shauri kwamba this is my leadership style where I will be placed....
this is his identity countrywide π
Tatizo la ngozi nyeusi ni ujinga na ujuaji na kujifanya wenye hekima kumbe ni majizi yanayoumiza wananchi! Kiongozi yeyote Afrika mwenye kushughulika na matatizo ya watu wa hali ya chini Viongozi wenzake hawawezi kumpenda!Hao si ndiyo kama lile tapeli Mmasi wa Tanga, anaambiwa na Waziri atoke kwenye nyumba ya watu,eti anasema bado yuko mahakamani, kumbe mjane wa watu hadi Hukumu ya Mahakama Kuu anayo tayari! Waziri akalitoa nje na vyombo vyake, akaambiwa utashinda mahakamani ukiwa nje!!
Sawa mkuu,lakini Bashite siyo mtu wa kutolewa mfano mzuriNaam Allency niko na familia mkuu
Ila sipendagi wivu wa kijinga, makonda apige kazi, nami niwe kwenye position zangu basi
Aliwahi kutokea mtu moja tu duniani aliyekuwa na sifa zote hizo unazommiminia huyo Makonda aka Bashite. Mtu huyo aliitwa Adolf Hitler wa Ujerumani.Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize
Anakidhalilisha chama. Wakati ukifika utaelewaKwahiyo mkuu ulitaka Makonda aache kusikiliza na kutatua matatizo ya watu kwasababu CCM ipo tangu tupate uhuru?