Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

kwani kumshabikia mtu kunahitaji uoga au ujasiri?

kumshabikia mtu ni maamuzi yako binafsi kulingana na kile ukipendacho kutoka kwake.

mfano mimi namchukia Makonda, na ni maamuzi yangu.
songa mbele sasa bila kubabaika 🐒
 
kwa style ya namna anavyofanya kazi zake kuiongoza Arusha, akiendelea kuwapo Arusha, na kwa mfano akataka hata kugombea ubunge atashinda mapema asubuh sana,

lakini pia pale Arusha mgombea yeyote mathalani wa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, ubunge au urais atakae kua endorsed na Makonda Lazima atashinda tena kwa kishindo sana 🐒
Sasa akiwa Mbunge hawezi kuwasaidia.Atajisaidia mwenyewe na ataendelea kulalamika Kwa Mawaziri kama Mpina 😁😁

Kazi nzuri kwake ni hiyo kama anataka kuwa jirani na watu ila kama anataka Ubunge atawaacha na sio guarantee kwamba atapata Uwaziri
 
mathalani akipata ubunge na akapewa na uwazri aiseee 🤣

atakua zaidi ya yule magufuli wa miundombinu, ardhi na uvuvi 🐒
 
Wewe acha uongo na maneno mengi! Makonda kwenye kliniki yake ya kutatua kero za wananchi amewatumia wanasheria wa Tanganyika Law Society! Mnapenda kumwekea maneno mengi na ujinga ujinga mwingi sana!
Hao si ndiyo kama lile tapeli Mmasi wa Tanga, anaambiwa na Waziri atoke kwenye nyumba ya watu,eti anasema bado yuko mahakamani, kumbe mjane wa watu hadi Hukumu ya Mahakama Kuu anayo tayari! Waziri akalitoa nje na vyombo vyake, akaambiwa utashinda mahakamani ukiwa nje!!
 
the coming presndent of tanzania after samia suluhu retired by mass action
 
Umeandika kama Lucasi katika jinsia ya kike. Hivi Bashite ni wa kutolewa mfano mzuri! Tanzania tuna watu wa ajabu sana. Kuna mtu aliwahi kusema kuwa unakuta na wewe una familia kabisa na watu wanakuita mzazi
Naam Allency niko na familia mkuu

Ila sipendagi wivu wa kijinga, makonda apige kazi, nami niwe kwenye position zangu basi
 
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.

Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.

Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Umefuta machozi ya uenezi tayari? Maana ulikua unalia kwa kuacheki video za mwenezi na sasa RC! Samahani nimekuja kwa amani tu, hiyo sura kwa avatar ni yako?
 
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.

Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.

Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Ndugu Julia babu,isije kuwa wadudu wa ar chuga walisha mpoteza mazima tu🤣
 
Labda Samia amuonee huruma,asipopata ni hasara Kisiasa ila ni faida kwake
unaelewa huyu kijana ni sensitive sana politically speaking....

alisense, akathibitisha na kujiridhisha kwamba, kwa upande moja anakubalika na kwa upande mwingine hakubaliki in both within the party, govt and in publics at large 🐒

ameasess mazingira yote hayo,
na sasa amekata shauri kwamba this is my leadership style where I will be placed....

this is his identity countrywide 🐒
 
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.

Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.

Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Wajinga mnazidi kumsifia Mjinga mwenzenu
 
unaelewa huyu kijana ni sensitive sana politically speaking....

alisense, akathibitisha na kujiridhisha kwamba, kwa upande moja anakubalika na kwa upande mwingine hakubaliki in both within the party, govt and in publics at large 🐒

ameasess mazingira yote hayo,
na sasa amekata shauri kwamba this is my leadership style where I will be placed....

this is his identity countrywide 🐒
Sasa Ukiwa Mbunge utatatua vipi hizo shida hata ukisikiliza? Ni lazima uwe na executive orders iwe kwenye chama au Serikalini.

Pili inawezekana nyie ni wageni wa siasa.Mtu wa kwanza kutumia staili hii Kwa Wakuu wa Mikoa ni Amos Makalla since early days akiwa RC wa Dar,Makonda ameanza kufanya hivi Sasa hivi ila awamu ya Magu hajawahi fanya.

Pia RC mwingine ambae Huwa anatumia hii staili Toka kitambo ni Juma Homera wa Mbeya.

Tofauti Yao na Makonda ni kwamba Makonda ana pesa alizopata Kwa kuwa na bucking ya Marais wote,ana hela za kulipa vyombo vya Habari nk
 
Hao si ndiyo kama lile tapeli Mmasi wa Tanga, anaambiwa na Waziri atoke kwenye nyumba ya watu,eti anasema bado yuko mahakamani, kumbe mjane wa watu hadi Hukumu ya Mahakama Kuu anayo tayari! Waziri akalitoa nje na vyombo vyake, akaambiwa utashinda mahakamani ukiwa nje!!
Tatizo la ngozi nyeusi ni ujinga na ujuaji na kujifanya wenye hekima kumbe ni majizi yanayoumiza wananchi! Kiongozi yeyote Afrika mwenye kushughulika na matatizo ya watu wa hali ya chini Viongozi wenzake hawawezi kumpenda!
 
Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize
Aliwahi kutokea mtu moja tu duniani aliyekuwa na sifa zote hizo unazommiminia huyo Makonda aka Bashite. Mtu huyo aliitwa Adolf Hitler wa Ujerumani.

Hitler alipanda ngazi kupitia safu ya Chama cha Nazi na alijikita katika matatizo yaliyoikumba Ujerumani na hasa ya kisiasa wakati wa Jamhuri ya Weimar

Hitler alihusishwa katika vitendo vya kikatili na mauaji kwa kutumia vurugu zilizomwezesha kuchukua madaraka kamili nchini Ujerumani mwaka 1933.

Kama ilivyo kawaida ya watu wa aina hii hatimaye Hitler alijiua kukwepa mkono wa sheria wananchi walipoamua kuwa sasa imetosha...
 
Nina mashaka ni movies zimetengenezwa ili ionekane CCM inashugulikia kero za watu! Vipi huko alikopita wakati akiwa mwenezi kero za wananchi zilitatatuliwa?
Makonda angejikita kukamata mafisadi yaliyotajwa kwenye ripoti za CAG na kuyafikisha mahakamani,hapa tungemwona ni mwamba kweli kweli.
 
Back
Top Bottom