Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
songa mbele sasa bila kubabaika 🐒kwani kumshabikia mtu kunahitaji uoga au ujasiri?
kumshabikia mtu ni maamuzi yako binafsi kulingana na kile ukipendacho kutoka kwake.
mfano mimi namchukia Makonda, na ni maamuzi yangu.