Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kwa level ya duniani bado hajasogelea hata inchi moja, kwahiyo sheikh acha uzwazwa.
 
Kwa uthubutu na utenda kazi usio chosha, ni vyema sasa Mamlaka za uteuzi zimteue Makonda kuwa Mkuu wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Kwa huyo Nurdin Babu sielewi hata huo Ukuu wa Mkoa alipewa kwa kigezo kipi!
 
Naamini kwenye mifumo na namna ya kuisimamia ili wanufaika wawe wengi zaidi. Hata Rais John Magufuli angeweka hiyo mifumo kwa sasa tungekuwa mbali sana. Lakini bila hiyo mifumo tutachezewa sana akili na wanasiasa na Kila mara tutakuwa tukianza upya, maana kila kiongozi atakuja na vipaumbele vyake vyake na akihamishwa au akimaliza muda wake hivyo vipaumbele navyo vinahama au vinamaliza muda wake na kwa namna hii hatuwezi 'kutoboa'. Maendeleo yanahitaji mwendekezo (continuity, consistency, predicability).
 
Kichwa cha habari tu kimeacha nisisome habari yako ila ninataka kukuuliza je unajua maana ya dunia? Inaanzia wapi na inaishia wapi

Inawwzekana unajua dunia nzima nikama kanda ya kaskazini ambyo ni Tanga,kilimanjaro na Arusha
Wakishapewaga visenti kusifia huwa akili zinaruka kabisa wanaandika chochote
 
Wewe ni mjinga kabisa. Tukisema mbowe anagongwa mtungo na wanaume utafurahia??? Maana ndiyo maneno ya mtaani wanasema mbowe ni shoga ndiyo maana alitoboa sikio. Jifunze kuheshimu viongozi
Unasema kujifunza kuheshimu viongozi hapo hapo unamtukana mbowe, au viongozi ni ccm peke yake? Pumbafu
 
It might be you are makonda. Au nawewe umezaliwa na shetani kama huwezi kulaani mauaji ya wanadamu!
Listen great, Cursing without proof is crazy, when you have unquestionable proof, why do you end up cursing? In other words, you want accusations without evidence to convince you that they are true, which means we should take the place of God who sees everything? I don't do stupid jobs

Ni ju yako wewe kuamini mimi ni Makonda, hiyo hainipi shida chief
 
Makonda anajua Sana...hata wanaom beza,wanajua vzr uwezo wake.
 
Arusha haitaki viongozi wapole kwa sababu wakazi wake wamechangamka inahitaji viongozi wenye uthubutu.
 
UWONGO!! Mhimili wa Mahakama hauingiliwi na paka yoyote kama Makonda
 
Pamoja kwamba Mimi ni mfuasi wa CHADEMA na mwanachama wa CHADEMA, ila Kuna jambo moja linanifanya nimuunge mkono Makonda. Kusikiliza kero za wananchi ambazo serikali imeshindwa kuzishughulikia.

Mimi simkubali CCM na Wala simkubali Makonda kwa sababu nyingi tu, ila nakubali kwa hichi alichokifanya. Hata Mimi ningepata nafasi ningeenda kupeleka malalamiko yangu.

Kuna jambo tumelipigania sana. Kiasi cha kufikia kwa polisi. Lakini inaonekana polisi wanamuogopa muhusika. Tumepeleka malalamiko na ushahidi Hadi ofisi ya Waziri lakini hakuna hatua iliyochukuliwa. Wapelelezi wa serikali wamefika sehemu wanakimbia njiani na kuacha mtuhumiwa akijigamba.

Nimeleta ushahidi hapa JF kuhusu tapeli moja anajiita Generali Mwamwega, kwa jina sahihi Macegeron Rweyemamu. Huyu ni tapeli mkubwa analiza watu kupitia kampuni ya One 2 One Focus Limited. Kupitia hiyo kampuni ameitumia kuwahujumu watanzania wengi kiasi Cha wengine kufilisika.

Niliuleta ushahidi hapa JF ukafutwa, tumepeleka ushahidi polisi wamekimbia nao, tumehusisha ofisi za serikali ila wanadai wanamuogopa huyo tapeli.

Inapofikia serikali inamuogopa raia mmoja na hata kumuacha atumie majina ya Viongozi kuibia wananchi unategemea nini?. Kama polisi wanamuogopa tapeli na kuacha kumkamata au kumchunguza raia waendelee wapi?

Generali Mwamwega hagusiki, anatumia cheo Cha jeshi wakati sio mwanajeshi na hakuna Mtu anayemkamata au kumuonya. Anatumia jina la Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuibia watu na hakuna anayemkamata au kumuonya. Na emefikia hatua anatumia jina la Waziri Mkuu ila hakuna anayemkamata au kumuonya.

Hivyo basi inapofikia hatua serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi vinamuogopa Generali Mwamwega ambaye wala sio Mwanajeshi aendelee kuumiza raia, basi anachokifaanya Makonda kuita raia na kuwasililiza kero zao nakiunga mkono maana kinaweka hadharani uchafu wa serikali na vyombo vya Dola ambavyo vipo kulinda raia lakini vimegekua kulinda wahalifu.

Kwa nilioyaona kwa Generali Mwamwega na jinsi serikali ilivyomkingia kifua nadhani wananchi wapewe platform ya kuongea haya mambo hadharani Tena live kwenye TV ili uchafu wa vyombo vya Dola uwekwe wazi na wahusika wajue kumbe wanafahamika.

Wakuu wa mikoa wengine igeni mfano wa Makonda maana wananchi wa kawaida wananyanyaswa sana na vombo vya Dola vikishirikiana na wahalifu akama akina Generali Mwamwega au kwa jina halisi Osward Macegeron Rweyeyemamu.
 
Unadhani kulalamika 'live'' kwenye vyombo vya habari kutaondoa matatizo? Ile case ya yule mfanyabiashara wa Kariakoo ambaye inasemekena alijiua kwa kujipiga risasi huko Tabora ni funzo kwa mnaodhani kuwa kulalamika tu kunatosha.
 
Unadhani kulalamika 'live'' kwenye vyombo vya habari kutaondoa matatizo? Ile case ya yule mfanyabiashara wa Kariakoo ambaye inasemekena alijiua kwa kujipiga risasi huko Tabora ni funzo kwa mnaodhani kuwa kulalamika tu kunatosha.
Mkuu yule alijiua baada ya maelekezo ya Rais kutokuheshimiwa na kwa bahati mbaya Rais aliyetoa maelekezo alifariki na kuliacha Jambo bado halijatekelezwa. Sasa Kama Mtu alifikisha kesi yake kwa Rais wa Nchi utamlaumu Nini?. Its unfair tu jamaa akaona hawezi kuhimili msingi akaona ajiue.


Kuhusu Jambo langu tumeenda mpaka polisi Tena Hadi ngazi ya RCO wa Mkoa kupeleka ushahidi na baadae kufungua jalada. Nimepeleka ushahidi Hadi kwa mbunge wangu amfikishie Waziri Mkuu aone jinsi wananchi wanavyoteswa ila hola. Kila mtu kimya. Nimepeleka ushahidi kwa ofisi nyeti ya upelelezi wakakimbia kwa kumuogopa huyo tapeli.
Kilichobakia ni nini? Kama umechukua hatua zote na bado vyombo vya Dola havichukui hatua. Ni Bora kuweka mambo wazi ili seriklia ijisahihishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…