johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mahakama iliyomwachia Gaidi 🐼Vyombo vya dola sio wagawa haki, mahakama pekee ndio kinapaswa kuwa chombo cha ugwaji haki na maamuzi ya nani ana haki. Kinachopaswa kufanyika ni mfumo wa Mahakama uboreshwe watu wasikimbile vyombo vya dola kupata haki kwa sababu ni precedent mbaya sana.
Soma tena ulichoandika.Kusikiliza kero za wananchi ambazo serikali imeshindwa kuzishughulikia.
Duh 🙄. !!pigia mstari huyo tapeli ana baraka zote za hao wakubwa wa nchi. ukizaliwa afrika ni laana unayopaswa kupigana ama na wewe na lineage yako muwe high table au uondoke kwenye bara hilo la kuzimu.
nashukuru Mungu siishi huko ukimani.
Soma historia za Hitler na Mussolini uone jinsi madictator hao walivyoigiza Hadi kuingia madarakani, na baada ya kuingia madarakani ni uovu wa kiwango gani walifanya. Kama kweli Makonda ni mpenda haki, angehakikisha mfumo wa mahakama unafanya kazi kwa usahihi. Madictator wote huanza kwa hizo hadaa za Makonda.Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.
Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
au nasema urongo jamaa yangu 😁Duh 🙄. !!
Naunga mkono hoja.pigia mstari huyo tapeli ana baraka zote za hao wakubwa wa nchi. ukizaliwa afrika ni laana unayopaswa kupigana ama na wewe na lineage yako muwe high table au uondoke kwenye bara hilo la kuzimu.
nashukuru Mungu siishi huko ukimani.
Sahihi kabisaMakonda anachofanya ni mind manipulation
Anawachota akili watu wenye upeo mdogo kwa kuwapa tumaini lisilotekelezeka.
Tukianza na utapeli - watz wengi ni matapeli Sana ukimkopa halipi , sasa wanapoona kuna mikopo mtandaoni huwa wanaanza kukimbilia ili wakope hela za bure na hapo ndo huishiwa kutapeliwa vibaya mno.
Makonda tangu amekuwa mkuu wa DSM ametatua kero ngapi?
Je Magufuli katatua kero ngapi?
Siasa ni Mchezo wa kuchota hisia Ila hakuna MTU ambaye mambo yake yatakuja kuwa solved kwa kumsikiliza makonda pasipo yeye kuwa responsible.
Na RaisNa nani ??!!!
Halafu ??!!! 🙄 !
Huyu makonda unaemsemea ni yule aliyepigwa ban kuingiza US kwa kudhulumu haki za watu kuishi au ni mwingine? Ni yule aliyevamia kituo cha tv kwa bunduki? Ni yule alituhumiwa na Lissu? Ni yule magufuli alikiri ana vyeti/ majina fake?Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.
Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
WE have evidence from the US and some internal sources have unquestionable evidence!Listen great, Cursing without proof is crazy, when you have unquestionable proof, why do you end up cursing? In other words, you want accusations without evidence to convince you that they are true, which means we should take the place of God who sees everything? I don't do stupid jobs
Ni ju yako wewe kuamini mimi ni Makonda, hiyo hainipi shida chief
Cc Nsanzagee read this pleaseHuyu makonda unaemsemea ni yule aliyepigwa ban kuingiza US kwa kudhulumu haki za watu kuishi au ni mwingine? Ni yule aliyevamia kituo cha tv kwa bunduki? Ni yule alituhumiwa na Lissu? Ni yule magufuli alikiri ana vyeti/ majina fake?
Sikujua kama hauna akili kiasi hicho, pole, hoja yangu kule mwanzo nilisema hivi, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alifanya maigizo kama hayo, na nikatolea mifano kama ishu ya walimu kupanda daladala, ishu ya wamama waliotelekezewa watoto, hadi ishu ya madawa ya kulevya, ni ipi kati ya hizo ambayo iliacha alama lets say aliwafungulia labda wale akina mama waliotelekezewa watoto miradi fulani inayowaendeshea maisha hadi leo, au wale walimu alipendekeza itungwe hata sheria wawe wanapanda daladala bure hadi leo au ishu ya kuwataja wauza dawa za kulevya kwamba kuna watu kumi au ishirini walikamatwa, wakashtakiwa wakafungwa kwa juhudi zake, lakini hakuna hata kimoja kilichofanyika kiuendelevu zaidi ya kudhalilisha akinamama wa watu kwa lengo lake la kisiasa na kuwadhalilisha walimu pia na wanasiasa.Chawa ni wewe usiyeona uongozi uliotukuka wa Makonda.
Sasa hivi watu wanashinda wakimfuatilia Makonda mitandaoni kuliko wanavyofuatilia Bunge.
Chochote ntakachokueleza kumhusu, hauwezi kufurahishwa nacho kwa sababu una chuki naye.
Embu ingia you tube uone anavyotatua kero za watu wa Arusha na nmna watu wanavyomjadili mtandaoni, soma comments za watu halafu ulinganishe na unayouaongea wewe kama yana ukweli wowote.
Ama labda nikuulize, ulitaka afanyeje kazi ndiyo wewe ukubaliane naye?
Vyovyote uniite, huo ni mtazamo wako.Sikujua kama hauna akili kiasi hicho, pole, hoja yangu kule mwanzo nilisema hivi, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alifanya maigizo kama hayo, na nikatolea mifano kama ishu ya walimu kupanda daladala, ishu ya wamama waliotelekezewa watoto, hadi ishu ya madawa ya kulevya, ni ipi kati ya hizo ambayo iliacha alama lets say aliwafungulia labda wale akina mama waliotelekezewa watoto miradi fulani inayowaendeshea maisha hadi leo, au wale walimu alipendekeza itungwe hata sheria wawe wanapanda daladala bure hadi leo au ishu ya kuwataja wauza dawa za kulevya kwamba kuna watu kumi au ishirini walikamatwa, wakashtakiwa wakafungwa kwa juhudi zake, lakini hakuna hata kimoja kilichofanyika kiuendelevu zaidi ya kudhalilisha akinamama wa watu kwa lengo lake la kisiasa na kuwadhalilisha walimu pia na wanasiasa. Sana sana kwa kutafuta kiki alijifanya kuagiza fenicha kwa mgongo wa walimu kumbe alikuwa ana lengo la kupiga dili aje auze makontena kibao ya fenicha hizo, ila serikali tena chini ya Mwamba Magufuli ikamshtukia na ndiyo maana hata alipoenda kugombea ubunge akapigwa chini mazima.