Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Vyombo vya dola sio wagawa haki, mahakama pekee ndio kinapaswa kuwa chombo cha ugwaji haki na maamuzi ya nani ana haki. Kinachopaswa kufanyika ni mfumo wa Mahakama uboreshwe watu wasikimbile vyombo vya dola kupata haki kwa sababu ni precedent mbaya sana.
Mahakama iliyomwachia Gaidi 🐼
 
pigia mstari huyo tapeli ana baraka zote za hao wakubwa wa nchi. ukizaliwa afrika ni laana unayopaswa kupigana ama na wewe na lineage yako muwe high table au uondoke kwenye bara hilo la kuzimu.
nashukuru Mungu siishi huko ukimani.
Duh 🙄. !!
 
Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.

Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Soma historia za Hitler na Mussolini uone jinsi madictator hao walivyoigiza Hadi kuingia madarakani, na baada ya kuingia madarakani ni uovu wa kiwango gani walifanya. Kama kweli Makonda ni mpenda haki, angehakikisha mfumo wa mahakama unafanya kazi kwa usahihi. Madictator wote huanza kwa hizo hadaa za Makonda.
 
Makonda anachofanya ni mind manipulation

Anawachota akili watu wenye upeo mdogo kwa kuwapa tumaini lisilotekelezeka.

Tukianza na utapeli - watz wengi ni matapeli Sana ukimkopa halipi , sasa wanapoona kuna mikopo mtandaoni huwa wanaanza kukimbilia ili wakope hela za bure na hapo ndo huishiwa kutapeliwa vibaya mno.

Makonda tangu amekuwa mkuu wa DSM ametatua kero ngapi?

Je Magufuli katatua kero ngapi?

Siasa ni Mchezo wa kuchota hisia Ila hakuna MTU ambaye mambo yake yatakuja kuwa solved kwa kumsikiliza makonda pasipo yeye kuwa responsible.
 
pigia mstari huyo tapeli ana baraka zote za hao wakubwa wa nchi. ukizaliwa afrika ni laana unayopaswa kupigana ama na wewe na lineage yako muwe high table au uondoke kwenye bara hilo la kuzimu.
nashukuru Mungu siishi huko ukimani.
Naunga mkono hoja.
 
Makonda anachofanya ni mind manipulation

Anawachota akili watu wenye upeo mdogo kwa kuwapa tumaini lisilotekelezeka.

Tukianza na utapeli - watz wengi ni matapeli Sana ukimkopa halipi , sasa wanapoona kuna mikopo mtandaoni huwa wanaanza kukimbilia ili wakope hela za bure na hapo ndo huishiwa kutapeliwa vibaya mno.

Makonda tangu amekuwa mkuu wa DSM ametatua kero ngapi?

Je Magufuli katatua kero ngapi?

Siasa ni Mchezo wa kuchota hisia Ila hakuna MTU ambaye mambo yake yatakuja kuwa solved kwa kumsikiliza makonda pasipo yeye kuwa responsible.
Sahihi kabisa
 
Binadam wengi huamini Kazi ya Mahakama ni Kutoa Haki LAKINI kiukweli Kazi ya Mahakama ni Kutafsiri Sheria na Kuhukumu

Hukumu ya mahakama siyo lazima iwe ni ya HAKI bali ni lazima iwe inatafsirika kwa mujibu wa vifungu vya Sheria na Katiba

Ikumbukwe HAKI hutolewa na Mungu wa mbinguni Mwenyewe

Ndio sababu Nje ya mfumo wa Mahakama Dunia imeweka Wasuluhishi

Usuluhishi Ndio Kazi anayofanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda

Mathayo 5:9 Heri Wapatanishi maana hao Wataitwa Wana wa Mungu wa mbinguni

Nawatakia Dominica Njema 😃
 
Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.

Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Huyu makonda unaemsemea ni yule aliyepigwa ban kuingiza US kwa kudhulumu haki za watu kuishi au ni mwingine? Ni yule aliyevamia kituo cha tv kwa bunduki? Ni yule alituhumiwa na Lissu? Ni yule magufuli alikiri ana vyeti/ majina fake?
 
we
Listen great, Cursing without proof is crazy, when you have unquestionable proof, why do you end up cursing? In other words, you want accusations without evidence to convince you that they are true, which means we should take the place of God who sees everything? I don't do stupid jobs

Ni ju yako wewe kuamini mimi ni Makonda, hiyo hainipi shida chief
WE have evidence from the US and some internal sources have unquestionable evidence!
 
Huyu makonda unaemsemea ni yule aliyepigwa ban kuingiza US kwa kudhulumu haki za watu kuishi au ni mwingine? Ni yule aliyevamia kituo cha tv kwa bunduki? Ni yule alituhumiwa na Lissu? Ni yule magufuli alikiri ana vyeti/ majina fake?
Cc Nsanzagee read this please
 
Chawa ni wewe usiyeona uongozi uliotukuka wa Makonda.

Sasa hivi watu wanashinda wakimfuatilia Makonda mitandaoni kuliko wanavyofuatilia Bunge.

Chochote ntakachokueleza kumhusu, hauwezi kufurahishwa nacho kwa sababu una chuki naye.

Embu ingia you tube uone anavyotatua kero za watu wa Arusha na nmna watu wanavyomjadili mtandaoni, soma comments za watu halafu ulinganishe na unayouaongea wewe kama yana ukweli wowote.

Ama labda nikuulize, ulitaka afanyeje kazi ndiyo wewe ukubaliane naye?
Sikujua kama hauna akili kiasi hicho, pole, hoja yangu kule mwanzo nilisema hivi, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alifanya maigizo kama hayo, na nikatolea mifano kama ishu ya walimu kupanda daladala, ishu ya wamama waliotelekezewa watoto, hadi ishu ya madawa ya kulevya, ni ipi kati ya hizo ambayo iliacha alama lets say aliwafungulia labda wale akina mama waliotelekezewa watoto miradi fulani inayowaendeshea maisha hadi leo, au wale walimu alipendekeza itungwe hata sheria wawe wanapanda daladala bure hadi leo au ishu ya kuwataja wauza dawa za kulevya kwamba kuna watu kumi au ishirini walikamatwa, wakashtakiwa wakafungwa kwa juhudi zake, lakini hakuna hata kimoja kilichofanyika kiuendelevu zaidi ya kudhalilisha akinamama wa watu kwa lengo lake la kisiasa na kuwadhalilisha walimu pia na wanasiasa.

Sana sana kwa kutafuta kiki alijifanya kuagiza fenicha kwa mgongo wa walimu kumbe alikuwa ana lengo la kupiga dili aje auze makontena kibao ya fenicha hizo, ila serikali tena chini ya Mwamba Magufuli ikamshtukia na ndiyo maana hata alipoenda kugombea ubunge akapigwa chini mazima.
 
Makonda,sisi wananchi wazalendo ambao ni 99% ya watanzania wote zaidi ya milioni 60 tunakuomba ugombee urais mwaka 2025 ili Nchi iwe na nidhamu na kupiga kasi kimaendeleo.maana wewe umeonesha Kila unapowekwa unafanya kazi vizuri.Achana na hawa punguani wanaokukosoa maana Hawazidi hata 1%.Makonda for president 2025
 
Sikujua kama hauna akili kiasi hicho, pole, hoja yangu kule mwanzo nilisema hivi, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alifanya maigizo kama hayo, na nikatolea mifano kama ishu ya walimu kupanda daladala, ishu ya wamama waliotelekezewa watoto, hadi ishu ya madawa ya kulevya, ni ipi kati ya hizo ambayo iliacha alama lets say aliwafungulia labda wale akina mama waliotelekezewa watoto miradi fulani inayowaendeshea maisha hadi leo, au wale walimu alipendekeza itungwe hata sheria wawe wanapanda daladala bure hadi leo au ishu ya kuwataja wauza dawa za kulevya kwamba kuna watu kumi au ishirini walikamatwa, wakashtakiwa wakafungwa kwa juhudi zake, lakini hakuna hata kimoja kilichofanyika kiuendelevu zaidi ya kudhalilisha akinamama wa watu kwa lengo lake la kisiasa na kuwadhalilisha walimu pia na wanasiasa. Sana sana kwa kutafuta kiki alijifanya kuagiza fenicha kwa mgongo wa walimu kumbe alikuwa ana lengo la kupiga dili aje auze makontena kibao ya fenicha hizo, ila serikali tena chini ya Mwamba Magufuli ikamshtukia na ndiyo maana hata alipoenda kugombea ubunge akapigwa chini mazima.
Vyovyote uniite, huo ni mtazamo wako.

Waulize wakazi wa Dar kuhusu Makonda, watakueleza ni namna gani walivyonufaika na uongozi wake, ni kijana mbunifu wa mambo mengi.

Kuangalia dosari zake peke yake bila kuangalia mema aliyofanya kusaidia watu ni kipimo cha chuki uliyonayo dhidi yake.

Kuachwa kurudishwa kwenye uRC, ni kutokana na msimamo wa Magufuli wa 'cheo kimoja mtu mmoja' na wateule wote waliokaidi rai hiyo na kwenda kugombea Ubunge waliondolewa kwenye nyadhifa zao hilo linafahamika.

Kina mama wengi waliodhulumiwa nyumba na utapeli mwingine, aliwasaidia na mpaka leo wanamkumbuka kwa wema, walimu walipanda dala dala bure nk nk.

Nadhani tufunge ubishani, endelea na mtizamo wako kama hautaki kubadilisha mind set yako.

Rai yangu kwako ni kwamba usilibeze jambo lolote analolifanya Makonda kwa sasa la kusaidia watu, usiwepo mtu mmoja kuchongoroa domo nyuma ya keyboard kupingana na umma .

Embu pitia pitia yuo tube na mitandao mingine uone msimamo wa wadau kuhusu kiongozi huyo.
 
Back
Top Bottom