Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Huyo Makonda ni kiashiria cha namna rais na washauri wake walivyo na uwezo duni wa kufikiri, kupanga na kufanya maamuzi.
 
Chai
 
Heri ya makonda mara 1000 kuliko kuwa na Rais rahisi wa aina ya bibi
 
Wacha awaburuze wamelala sana hivi makonda kila kona!
 
Usimweke huyu zandiki kwenye kundi la watukuka kama kina Sokoine!
 
Kabisa, kweli huyu Daudi Bashite ni kero kubwa na aibu kwa uongozi wa mama Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…