Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kumbe na nawewe kuna muda una waamini makafiri eehhh safi sana
 
Ukweli mtupu.
Huyu bashite anamharibia Mama.
Mpaka sasa keshampunguzia idadi ya watu waliokua na imani nae, watu wengi hawampendi bashite kutokana na makandokando yake.
Leo hii anakutukana hadharani kuwa mawaziri ulowateua wanakutukana?
Anamaanisha uliteua wahuni?
Ni tusi kubwa kuliko la Mange amekutukana Bashite.
Mama tunakupenda sana, umeleta upendo ktk nchi iliyokuwa imevurugwa na jiwe kwa kushirikiana na Bashite
 
Kumbe na nawewe kuna muda una waamini makafiri eehhh safi sana
Makafiri wengine kama Gwajima brains Zao zinafanya kazi, hiyo ya kufufua watu kwani hata we mwenyewe SI unajua tuh ni namna namna ya kuishi town hapa?
 
Makonda hapendwi sijui ni kwanini msio mpenda huwa sababu ni nini sijui
Makonda mwenyewe kaua akina Ben Saanane, Azory Gwanda na aliongoza kikundi cha WASIOJULIKANA kwenda kumshambulia Tundu Lissu akiwa mkutanoni Dodoma.

Hukumu ya Makonda ipo tu, siku yeyeote au Mahakamani au mtaani, ila hawezi kuepuka. Lazima kikombe akinywe tu
 
Makafiri wengine kama Gwajima brains Zao zinafanya kazi, hiyo ya kufufua watu kwani hata we mwenyewe SI unajua tuh ni namna namna ya kuishi town hapa?
Kwikwikwikwikwikwi mbona mnahangaika sana na Makonda? 😂😂😂😂😂😂
 
Toa ujinga wako humu
 
Tangu huyu zandiki aingie Arusha ni majanga tu yanatokea, mafuriko, ajali za magari, vifo, n.k.
 
Muacheni Makonda, tujadili Hali ngumu ya maisha ya watanzania
 
chadema wameshitukiwa walifikiri ni siri ujinga wanauwendeleza huko mtandaoni
 
Bashite kikundi chake cha mauwaji kinalia njaa hivyo anawatafutia kazi kijanja anafikiria mama ni muuwaji kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…