Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Bro hakuna kitu kinafanyika kwa bahat mbaya chief hizo ni politric, kuna maripoti ya CAG kuna mafuriko huko kusini nk. Serikali haina majibu zaid ya kutengeneza story kama hiz na mtu mzur ni makonda. Mtamjadili mpaka musahau ripot ya CAG ndio imepita hiyo.
 
Tangu huyu zandiki aingie Arusha ni majanga tu yanatokea, mafuriko, ajali za magari, vifo, n.k.
Hivi ajali ile ya coaster lilokuwa limebeba walimu wazungu na lori ilikuwa lini vile?
 
Ndiyo maana Mzee Magu alimtema alipomgundua
SI mtu mzuri kihivyo
Wewe ni muongo, aliondoka kwenda kugombea ubunge Kigamboni akashindwa. Na msimamo wa Magufuli ulikuwa wazi, ukiamua kuacha nafasi ya uteuzi, ukishindwa kwenye uchaguzi, hakuteui tena.
 
Unadhani amebahatisha? Sio ukiona alisema kabisa hilo ni lake?
 
Jinsi awazavyo mtu, ndivyo alivyo.
 
Wewe ni muongo, aliondoka kwenda kugombea ubunge Kigamboni akashindwa. Na msimamo wa Magufuli ulikuwa wazi, ukiamua kuacha nafasi ya uteuzi, ukishindwa kwenye uchaguzi, hakuteui tena.

Hiyo haikuwa sababu pekee. Kabla ya uchaguzi Makonda aliomba arudi kwenye ukuu wa mkoa. Marehemu alimkatalia kwa sababu moja kuu, sababu la ulaghai. Aliwalaghai watu kuwa eti Hayati Magufuli ndiye alimtuma akagombee ubunge ili amteue kuwa waziri wa mambo ya ndani. Magufuli alipousikia huo uwongo wa Makonda, alichukia na akatangaza kuwa anayesema ametumwa na yeye Magufuli kugombea ubunge, ni mwongo. Makonda akaumbuka. Ukichanganya na ule utapelei aliowafanyia GSM kuwa Hayati Magufuli aliwaomba wamjengee nyumba, kumbe ni yeye Makonda aliamua kuwatapeli nyumba GSM kwa jina la Magufuli, alizidi kumchukia.

Chini ya uongozi wa hayati Magufuli, Makonda asingepata uteuzi hata wa kuwa balozi wa nyumba kumi. Hayati Magufuli baada ya kumtambua vizuri Makonda, hakumtaka tena.
 
Nimeangalia video Ile, wakati anarudi kukaa, kumbe KITI chake Kiko Jirani na Mzee mstaafu,

Mzee imebidi akaze shingo aangalie pembeni.

Ccm mnalo mwaka huu na ujao!!
 
Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.

Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.

Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
 
Ni kweli.

Kauli ya Makonda inamfitinisha Samia na watendaji wake ndani ya chama na serikali.

Kauli hii pia inamfitinisha Samia na mkuu wa usalama nchini. Yaani kwamba Kuna taarifa za kumchafua rais Makonda anazijua halafu mkuu wa usalama hajui? Na kama anajua mbona hajamwambia rais Samia?
 
Siasa inatakiwa kuwa hivyo. Inaonekana kuna watu mnapenda siasa za kinyonge sana.
 
Ni wapi umewahi kumuona huyo unayemsema amesimama kutoa comments juu ya vitu vinavyoendelea ndani ya serikali?
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo ni kama Uchaguzi wao ule na ujio wa Manzoki au timu pekee Kupigwa ndani nje robo fainali na mapichapicha na Mayele? CCM kuweni serious basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…