Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

nadhani muhimu zaidi ukweli usemwe bila tashwishwi yoyote, na kama fulani anafanana na fulani kwa maneno au matendo, na ambayo ni mazuri hakuna haja ya kuficha
 
nadhani muhimu zaidi ukweli usemwe bila tashwishwi yoyote, na kama fulani anafanana na fulani kwa maneno au matendo, na ambayo ni mazuri hakuna haja ya kuficha
Hakuna anaeweza kufananana mwingine kwa asili, wote tuko Sawa ila kila mmoja anautofauti wake.

Tuwaache watu wasimame kwenye nafasi zao Kama wao na tuwahukumu na kuwapongeza kwa matendo yao halisi bila kuwavesha taswira za wengine.
 
Kama naanza kukuelewa kwa karibu sana,Mbowe ni masta maind wa kasikazini,ni mpangaji wa matukio na sio matukioa madogo,Kama lile la kusema kapigwa kumbe alilewa akaanguka kwenye Ngazi akaumia mguu!!!!
Jamaa zake hawataki kukubali.

Hawashangai wakati wao wakiwa busy kulumbana kuhusu Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi “Mwamba alikua busy anazindua Kasri lake.

Na atawashangaza zaidi mwakani kwenye pilikapilika za uchaguzi. Yetu macho.
 
..Mama naye ile watch aliyopiga bei yake unaweza kujenga nyumba.
 
Unamaanisha atafika mbali alipofika sokoine, au Mimi ndio sijaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…