Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hivi haiwezekani tukamkubali mtu kwa jinsi alivyo yeye bila kumfananisha na mtu mwingine (haswa marehemu)?

Binaadam wote ni Sawa ila kila mmoja kaumbwa na utofauti wake wa kipekee sana na tutauona vizuri zaidi tukiondoa fikra za kulinganishana na kufananishana.
nadhani muhimu zaidi ukweli usemwe bila tashwishwi yoyote, na kama fulani anafanana na fulani kwa maneno au matendo, na ambayo ni mazuri hakuna haja ya kuficha :whatBlink:
 
nadhani muhimu zaidi ukweli usemwe bila tashwishwi yoyote, na kama fulani anafanana na fulani kwa maneno au matendo, na ambayo ni mazuri hakuna haja ya kuficha :whatBlink:
Hakuna anaeweza kufananana mwingine kwa asili, wote tuko Sawa ila kila mmoja anautofauti wake.

Tuwaache watu wasimame kwenye nafasi zao Kama wao na tuwahukumu na kuwapongeza kwa matendo yao halisi bila kuwavesha taswira za wengine.
 
Kama naanza kukuelewa kwa karibu sana,Mbowe ni masta maind wa kasikazini,ni mpangaji wa matukio na sio matukioa madogo,Kama lile la kusema kapigwa kumbe alilewa akaanguka kwenye Ngazi akaumia mguu!!!!
Jamaa zake hawataki kukubali.

Hawashangai wakati wao wakiwa busy kulumbana kuhusu Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi “Mwamba alikua busy anazindua Kasri lake.

Na atawashangaza zaidi mwakani kwenye pilikapilika za uchaguzi. Yetu macho.
 
sio hoja tu,

bali pia kijana ana maono ya mbali, nia ya dhati, uwezo na ujasiri wa kipekee sana, si tu wa kusema kwa maneno, bali pia kutenda kwa vitendo 🐒

ana tofauti ndogo sana na Hayati Edward Moringe Sokoine.
Itoshe tu kusema, Makonda ni Sokoine wa nyakati hizi, atafika mbali 🐒
Unamaanisha atafika mbali alipofika sokoine, au Mimi ndio sijaelewa?
 
Back
Top Bottom