Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Wangapi wanaijua? Na inatangazwa vyakutosha? Ina nini chakufanya hadi mtu akija Arusha asikose kupita pale?
Ni ya mtu binafsi na anaitangaza sana wageni wengi wanapita hapo...
Fanya utalii wa ndani ujifunze vitu sio mnaandika vitu vya Arusha kama vile vipo USA...ukiangalia site zote za matangazo ya ya utalii ipo na imechukua tuzo bora kadhaa..
 
Ili jipu , ila mda ni mwalim mzuri , wapo watu nchi wanayafanyia ma kubwa tz kama nchi na wametulia tuli , sasa huyu nikujifanya Kambare , ikumbukwe amewahi mkwida mzee Warioba , Mungu halali haijalishi ni nani ila mda utajibu
 
Mkutano wa shetani na wanadamu
 
Kwa hiyo unategemea Makonda anaweza kuifungua Arusha kiutalii?
Wewe unadhani utalii ni kutoa amri, kuropoka na kujigamba?
Subiri, muda utakufundisha kitu.
 
Upo sahihi kabisa. Mfano Shanghai utalii ni 24/7 na utachoka wewe sehemu za kutalii zipo za kutosha na kila moja ni unique. Arusha bado sana... wangweza jenga copy ya Makumbusho ya Dar es salaam, ile ya vita vya majimaji kule Kilwa, ile ya Songea na ata wangejenga some historical sites za Zanzibar kama vile China walivyojenga copies za frobiden city sehem zingine . Kijiji cha makumbusho pia copy yake ingekuwa Arusha na hapo Vyakula vya makabila yote vingekuwepo na pia mfano halisia wa maisha ya kila kabila yangekuwa live hii ingenogesha na kukuza utalii Arusha. Soon kuna Mashindano ya mpira wa Miguu na Uwanja wa kisasa na mkubwa unajengwa Arusha hii kama itachikuliwa kwa umakini inaweza leta watalii wengi na ata kurudisha garama za ujenzi wa uwanja huu kupitia utalii wakati wa mashindano haya. Arusha ilitakiwa iwe na matamasha kama yale ya Ziff Zanzibar kila baada ya miezi 3 ya ngoma za Utamaduni na muziki wa Tanzania.... Arusha wangejenga Water World yenye mfano wa Mafia Island ..... yaani du kama ningekuwa na uwezo!!! Ila basi tu . Mapato ya Utalii wa Arusha pekee yangechaningia 40% ya makusanyo ya TRA😭
 
Unaandika upumbavu tu
 
Dalili ya kuelekea kuwa 'failed state'
Can you imagine wakati Warioba anakuwa Waziri Mkuu 1985 nilikuwa namuona kama hatoshi vile. Na hapo Warioba alitoka kuwa Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kwa sababu aliyekuwa Waziri Mkuu kabla yake, Salim Ahmed Salim, alikuwa an international giant ambaye miaka michache kabla ya hapo bado kidogo awe Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Leo tunaongelea Makonda kuwa Waziri Mkuu? Na watu wanaona sawa tu?
 
Makonda anapaswa ajue, mtalii anayekuja Afrika anakuja kwa ajili ya kufanya vitu vichache tu ambavyo kwaoo hakuna...

1. Kutazama vivutio vya asili ambavyo ni wanyama na mandhari...

2. Utamaduni na maisha ya wanadamu wengine ambao bado wanaenzi tamaduni za asili kama Maasai...

3. Kukwepa msimu mkali wa baridi kaskazini mwa dunia...

4. Ni utamaduni kwa wenzetu kufanya utalii au kupumzisha mwili na akili...

Ijulikane ya kwamba hakuna mtalii anayekuja Afrika kutaka kula bata la usiku, kwa sababu huko kwao ni salama zaidi kufanya hivyo zaidi kuna nchi ambazo ni maarufu kwa utalii wa usiku kuliko Afrika...

Kwenye bata la usiku ni bora mzungu aende zake Vegas, Bora bora, Dubai, Bangkok n.k mahali ambapo walau kuna usalama nyakati za usiku...

Afrika ili tuendelee tunapaswa kuacha kukumbatia UJINGA
 
Ili jipu , ila mda ni mwalim mzuri , wapo watu nchi wanayafanyia ma kubwa tz kama nchi na wametulia tuli , sasa huyu nikujifanya Kambare , ikumbukwe amewahi mkwida mzee Warioba , Mungu halali haijalishi ni nani ila mda utajibu
Hapo kwa watu makini tunaona mwanzo mzuri upande wa utalii.Kuna mindsets za ovyo sana hapo Arusha kuhusu utalii.Mh RC Makonda asikilize na kuelewa picha kubwa kwanza ndipo achukue hatua muhimu kukuza utalii.
1. Ajifunze historia ya utalii wa Arusha hasa kuanzia miaka ya '90..ili aelewe mvutano wa makampuni makubwa dhidi ya makampuni madogo.
2.Ajifunze kuhusu waongoza watalii..ili aelewe mvutano wa kimaslahi kati yao na wenye makampuni.( makubwa kwa madogo).
3.Ajifunze kuhusu mitaala ya vyuo mbalimbali vinavyofundisha Utalii...ili aelewe kwa nini kuna tofauti kubwa ya uelewa kwa wahitimu.
4.Mwisho ajenge spirit ya kuwapenda watalii na sio pesa yao tu.Hapa awaguse trafffic polices,TRA,LATRA,Park Rangers ,etc ..ili waoneshe kuwa Utalii ni number one hapo Arusha..
 
Acha ujuha Yesu hakuwa na Muda wa kutengeneza Six pack
Inawezekana alikuwa na six pack kutokana na yale matembezi aliyokuwa akifanya. Mara kaenda Galilaya, Nazareth, Samaria na kwenye mlima mzeituni. Alikuwa anatembea balaa.
 
Makonda amenikasilisha sana, sina wivu wa kile anakipata au kuwa ndani ya serikali ila amenikosea sana binasfi why hatulizi kichwa ,naomba niandaliwe pambano nae tuzichape roho ya itakua na amani
 
Zile pesa za kuwakopesha UVCCM wangekopeshwa wajasiriamali wenye migahawa na biashara zingine zenye connection na utalii ili kuboresha biashara zao. Kuna kina dada Kaloleni na mitaa mingine ya Arusha wana migahawa midogo midogo ila mapishi yao ni ya ubora wa hali ya juu... hao ndo wangewezeshwa na kupewa dili za kuwalisha watasha vyakula vya kiafrika. Watalii wanapenda sana kutembelea uswahilini na kupata ladha kamili ya kila kitu kuanzia maisha halisi ya Tz na sio kuishia kwenye five star hotel na kwenda porini.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…