Jana nimeona kikao baina ya Rc Makonda na wafanyabiashara wa hotel na tra na tours.Rc kauliza vitu vingi na kashangaa iweje mzungu atoke ulaya aje kulala badala ya kutalii. Napenda nitoe ushaur.wakat fulan tulisoma kozi na serikal ya china katika hizo kozi kuna kitu kinaitwa Night tourism, hapa maeneo meng nchin china utalii unafanyika mpaka usiku.mfano private tours at night in the city,museums. Kuna maeneo unapata local food usiku mzima,wenzetu wana utalii wa mito sio kama sisi mito yetu yot tumekonect maji taka. Kwa arusha ili jiji liqe vibrant ni lazima shuguli za utalii ziwe 24hrs.wengine wanapenda kwenda museums usiku pametulia,uliza arusha kuna Museum inayoeleweka??? Mtalii anaweza kutaka local foods at night je zipo sehem hizo.??? Usalama je??? Naamin watu wa arusha wanaelewa utamu wa hela ya mzungu kama mazingira mheshimiwa atapambana kuyaweka sawa jamaa watapiga kaz.nimemskia yule jamaa kichwa Chambulo anasema kalipa mil 23 kapewa risit ya mil 3. Yule ana aides nying za kuhakikisha mzungu anabakiza nauli tu ya kurud kwao.hapo arusha itapaa kiutalii.ttb pale nothing creative nothing no museums hakuna tradition wataalam wamekaaa hata huko dodom kukimbiza madokezo ya.poshoook tu