Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Unajitahidi ila wananchi huku wana hasira na nyinyi 😂
 
nashukuru sana na asante sana.

ephen ephen upo wapi.
 
Unajitahidi ila wananchi huku wana hasira na nyinyi 😂
wap na upande gani wanainchi wana hasira?

hasira ya nini kwanza? au unazungumzia mihemko mtumishi 🐒

Actually,
binafsi si tu najitahidi bali pia nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu 🐒

sipo pekeyangu, nipo na Baba, na amenihakikishia ushindi ni wangu
 
L
Lukasi bwana! 🤣 🤣 🤣
 
Ni upuuzi Ulioje kuendelea kumzungumzia mtu huyu???
 
Huku tunakoelekea soon utaandika Paul Makonda anya mavi magumu.

Wewe sio chawa, wewe ni kupe, maana unang'ang'ania kabisa.
 
Wana JF tusichukulie mzaha hii vita unataka kutokea mashariki ya kati kati ya Iran na Israel. Kuna mzee flan mwanausalama amenibrief kama vita hii ikitokeaa Putin lazima ashushe vitu vizito Skendinevia na Nato.

Kwa iyo nilishatenga kama dollars elfu mbili na tangu jana imemfanya shopping za mazagazaga karibu 100 tin mackerel, tin beans, tin tuna, tin sardine, dry fruits, digestive biscuits, tent/hema second had, radio ya mkononi na betri za kutosha, torch, dry bread. Kesho asubuhi nitaendelea na shopping.

Hulka yangu I never take anything for granted
 
Chawa jazz band,naona mmekutana njia panda, kiufupi ni kwamba watanzania kwa umoja wao hawaitaki ccm tena,hivyo kama munampenda samia mwambieni wazi aachane na ccm,baada ya hapo Samia atakuwa mtu mwingine kabisa,na watanzania kwa umoja wao watasimama naye na kumpigania against all odds,musimdanganye.
 
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Kama ni hivyo ni kipi kinawafanya hamtaki mabadiliko ya kweli kwenye tume ya uchaguzi?
 
Rais Samia na CCM Ndio Tumaini na chaguo la mamilioni ya watanzania.
 
Walikuwa hawasikii coz viongozi wale hawamfatilii anae tupa matusi kwa mama.
Makonda kusema kumewapa tensheni na utayari mkubwa wa kufatilia kwa kina matusi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…