Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Wewe punguani, mvivu na mzembe mwenye Akili kisoda.


Tunahitaji matokeo, na matokeo Chanya, iwe Kwa kupiga, iwe Kwa kufoka, tunahitaj matokeo.

Hilo bembeleza zenu zimewah saidia nn?


Wewe ni matokeo ya Kitoto lilozaliwa ,likadekezwa, shuleni limesoma shule za kubebwa, chuoni,limebebwa , Sasa limeingia mtaani, limejikuta linahitaj Maisha yaleyale ya kubebwa na kubembelezwa.

Pumbavu
 
Hovyo kabisa
 
Hata muandike thread 1,000 kumsifia huyo nyamitako Bashite hawezi kurudi kuwa mwenezi tena.

Huu mchezo hautaki Zerobrain bali unataka wenye akili. Muda wa usanii wa kupanda mkokoteni na panda haupo tena.

Mwambie huyo mhalifu aendelee kufanya kazi ya u RC Arusha kwa akili na siyo kwa ma camera na mapicha picha. La sivyo hata hiyo atanyang'anywa
 
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump [emoji23][emoji23][emoji91]

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Dr Nchimbi akiwa Katavi alisema "aliyekuwa anafokea watumishi majukwaani Kwa wizi naye ni Mwizi kama Wezi wengine". Sijui alimaanisha Nani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…