Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump [emoji23][emoji23][emoji91]

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Umenena vyema Makondo ni kiongozi anakerwa ni changamoto za wananchi

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Aone aibu kwa sababu gani???
Anayepaswa kuona aibu ni yule aliyemteua Makonda, kwa sababu amemteua mtu ambaye anajua wazi kabisa kwamba hana hata chembe ya sifa za kuweza kuwaongoza binadamu wala wanyama wa kufugwa na binadamu. Labda wanyama-pori.
 
Hebu tupe picha ya hiyo mikutano. Huna akili
 
Sasa mtu hana akili hata moja kichwani unatagemea nini ? Makonda lazima afoke, ndiyo hicho tu anakiweza
 
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Hivi ndani ya hicho Chama Chenu, Je, nani ambaye siyo fisadi, mwizi au mfanya uovu mbalimbali? Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…