Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Tulijua Chawa wake watakuja na tuko tayari kupambana nao kwa hoja au kivyovyote
 
Tulijua Chawa wake watakuja na tuko tayari kupambana nao kwa hoja au kivyovyote
Mkuu,Unaona SASA,Chawa wa Makonda ni nani?ni Mtu kama wewe ambaye unajificha nyuma ya Keyboard kusema maneno lukuki ambayo huna ujasiri wa kuyasema Wazi.Namkumbuka SANA Ben Saa nane.Aliwahi sana kuiacha Chadema.Angeweza Kumjibu Makonda Live mbele ya Kamera sio ninyi ambao mnajificha nyuma ya Kanga za Dada zenu.
 
Huna hoja , pinga yale mawe niliyoweka pale juu , kuna nilichosingizia ? Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana , ukikipata tenda haki .
 
Aligombana na wauza unga hasa wale wa club bilicana
 
Basi hamtaki katiba mpya ajenda ni makonda sasa kweli CCM ni wazee wa mikakati wanapoamua kubadili upepo!
 
Yaan umeandika gazeti, lakin hakuna point ya msingi. Yaan Makonda anakuumiza roho sana Dada yangu. Halafu umeandika kwa hisia Kali sana. Mm nakushauri tu kuwa usipende kuwachukia watu, ishi tu kwa amani. Hawa wakina Makonda usije kushangaa wanapata cheo kikubwa sana. Si utaumia sana. Ushauri tu.
 
Hoja ni Je nilichoandika ni uongo ?
 
Acha uzushi, Makonda alisimamia haki kwa wauza madawa mpaka yakapotea mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…